Utunzaji wa nywele za asili

Utunzaji wa nywele za asili

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA KUKUZA NYWELE HARAKA NA KUFANYA ZIWE NA AFYA.

vifuatavyo ni vitu vya asili ambavyo utachanganya vyote kupata shampoo yako.

1. ALOVELA GEL
Chukua ute WA alovera vijiko kadhaa weka kwenye chupa yako. Tikisa vizuri
Alovera inatabia ya kuifanya nywele ikue haraka, iwe yeñye afya, inaondoa mba na muonekano WA asili zaidi.

2. ASALI
Inatabia ya kupambana na bacteria na fangasi wanakua kwenye nywele hivyo kuondoa miwasho kwenye nywele, inasaidia nywele zilizokatika zijae vizuri na kukua Kwa haraka. Lakini pia inasaidia nywele kua na harufu nzuri na kua laini ya kupendeza.
Ongeza vijiko kadhaa kwenye mchanganyiko wako WA alovera

3. MAFUTA YA MNYONYO( CUSTOR OIL)
Ni moja ya mafuta mazuri Sana Kwa nywele , yanafanya nywele kua nzito, kukua haraka na kusaidia nywele iliyonyonyoka.
Pia ongeza vijiko kathaa vya mnyonyo kwenye mchanganyiko wako na tikisa vizuri

4. NDIMU
Ukitaka nywele yako ing'ae Kwa mda mfupi na kukua haraka basi kwenye shampoo yako isikose ndimu. Tumia ndimu mbili kubwa kuongeza kwenye mchanganyiko wako WA shampoo na uanze kuona matokeo kuanzia week mbili.

5.MAJI YA UA ROSE
Haya yataifanya nywele yako inukie vizuri, lakini pia inasaidia kupambana na mba. Hufanya maotea ya nywele kukua vizuri na kua na nguvu. Ongeza vijiko vichache kwenye mchanganyiko wako.

KUMBUKA
sio lazima kua na vitu vyote hivyo Kwa wakati mmoja. Vichache utakavyopata vinatosha kutengeneza shampoo(sabuni ya nywele)
 
Samahani tui la Nazi nalipataje bila kuchuja na maji.....nimependa Maelezo yako

Nnatumia nazi asilia, naikuna kwenye mbuzi kupata machicha ya nazi, kisha nachukua kitambaa laini au butter cloth au material kama stiff (kuna mifuko imetoka saa hizi iko kama kitamaa flani transparent) hiyo ndo natumia kuichuja. Naweka yale machicha ya nazi niliyoikuna kwenye hicho kitambaa kisha naikamua kwenye kibakuli, inatoka juisi ya nazi kama ilivyo bila kutia maji.

Laah yale machicha unaweza kuyachuja na mkono ila uwe makini machicha yasipite kwenye tui ili ukipaka kichwani machicha yasinate kwenye nywele.

kisha tui unaliweka kwenye kichupa cha kuspray na unaji spray kwenye nywele kisha unavaa kofia ya plastic na kufunga kilemba na kulala usiku mzima au kama umefanya hili zoezi asubuhi unaweza ukawa na shughuli zako kutwa nzima kisha mchana ukaziosha.

Mie napenda kufanya usiku sababu nasave muda wa kufanya mambo yangu mchana. Na usiku kama nikitokea nimepata mtoko, nafunga boonge la lemba hakuna atayejua kuwa ndani nimepaka mavitu kwenye nywele.

That's all.
 
Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.

Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.

Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.

Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.

Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.

Kasie Manywele.
Kwa vyakula vyote hivyo, hiyo nywele itakuwa na afya sana.
 
Ndio maana mkinyeshewa mvua zinatoa harufu kama zizi la kondoo
Mnaweka makitu mengi hivyo
 
kassie nywele yako ni ya aje? Mimi Yangu ni nyepesi alafu ni chache sana kichwani ni nyeknd pia.... Naweza kufanya kama ww?
 
Kasie umetisha
 
Ndio maana mkinyeshewa mvua zinatoa harufu kama zizi la kondoo
Mnaweka makitu mengi hivyo

Kwa nywele ya kiswahili ambayo haina dawa hata ikinyeshewa mvua haina shida labda kama hazioshwi.

Na wanawake wanaojali nywele wako radhi wanyeshewe mwilini ila nywele zisilowane. Iko hivo, mie huwa sijali zikinyeshewa maana huwa nazispray maji kila siku kuziweka moist au nyevunyevu na hazinuki hata.

In love with natural hair.
 
Kutokana na u busy wa JF inabidi sikunyingine nisuke corn row, rasta. Sikunyingine Nina style, mambo yakiizidi ninatupia wig kichwani.
 
Namshukuru Mungu ziko vizuri tuu, hazijanikatisha tamaa juhudi niliyoweka ya kuzitunza.
Yan ktk vitu ninavyo penda katika mwili wangu ni nywele zangu, yaan nawekaga mavitu mengi,
Kuna kitu nitaongezea na mimi, jaman nywele nzuri sana, na ukizitunza zinaitika
Ila nataman ningeweza kuweka style ya kukaa week nzima. Ila siwez kuniweka,
 
Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.

Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.

Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.

Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.

Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.

Kasie Manywele.
...Utakuwa mganga wewe, sio bure.
 
kassie nywele yako ni ya aje? Mimi Yangu ni nyepesi alafu ni chache sana kichwani ni nyeknd pia.... Naweza kufanya kama ww?

Nywele yangu sio nzito sio nyepesi Ila zinajaa kutokana na msosi nnaoulisha maana kabla sijaanza kuzi treat mwenyewe zilikuwa si ndefu kihivyo. Nikisokota twist ndo huwa wananiita bibi wa kisomali....

IMAG1262_1.jpg

That's Kasie....
 
Huwa sina formula ila nilishaacha kutumia shampoo, naosha nywele na sabuni ya kipande haswa jamaa.

Chakula nnachokilisha nywele zangu Kila ijumaa ni tui la nazi bila kulichanganya na maji. Siku nyingine ndizi mbivu na mtindi, siku nyingine parachichi na mtindi na olive oil, siku nyingine juice ya carrot na maji ya mchele, au maji ya mchele uliolowekwa kwa siku 5 au juisi ya kitunguu maji peke yake na siku nyingine nachanganya kitunguu maji na tangawizi nachuja juisi yake.

Vyote hivi sichanganyi na maji na nikipaka usiku nalala nimefunga nywele na kofia ya plastic asubuhi naziosha na kuzipaka hair butter na hair cream (Haya mafuta ya dukani) kisha naweka protective style mwenyewe ya wiki nzima.

Nshasahau kadhia za wasusi zaidi ya mwaka sasa na nywele zangu zinarefuka kila leo.

Pamoja na kurefuka wengi tuu wameshaniambia, Kasie una asili ya kisomali au kimanga wewe, hizi nywele zote ni zako mbona zina waves kama za kisomali wakati wewe ni mmatumbi wa kinyamwezi..... Basi Mie nacheka tuu hehehehee.

Kasie Manywele.
Kasie,
Kabla ya kutreat unaziosha kwanza au? Pia baada ya kutreat unaosha na sabuni au ni maji peke yake?
 
Yan ktk vitu ninavyo penda katika mwili wangu ni nywele zangu, yaan nawekaga mavitu mengi,
Kuna kitu nitaongezea na mimi, jaman nywele nzuri sana, na ukizitunza zinaitika
Ila nataman ningeweza kuweka style ya kukaa week nzima. Ila siwez kuniweka,
Unatakiwa ujifunze style mbalimbali ambazo unajitengeneza mwenyewe na zinakaa wiki nzima.

IMAG1266_1.jpg

That's Kasie with flat twist style for one week.
 
Kasie,
Kabla ya kutreat unaziosha kwanza au? Pia baada ya kutreat unaosha na sabuni au ni maji peke yake?

Hapana kabla sijazi treat sizioshi, na asubuhi yake naziosha na sabuni ya kipande na kupaka mafuta. Pia Kila asubuhi na jioni nazi spray maji kuziweka moist...

Whole day everyday my hair stays healthy and I smile for that.

K' Matata.
 
Hapana kabla sijazi treat sizioshi, na asubuhi yake naziosha na sabuni ya kipande na kupaka mafuta. Pia Kila asubuhi na jioni nazi spray maji kuziweka moist...

While day everyday my hair stays healthy and I smile for that.

K' Matata.
Thanks Sisy Kasie
 
Back
Top Bottom