Uturuki imesabisha ukosefu wa maji kwa watu milioni moja huko Syria. Wapenda haki wa Free Palestine mbona hampazi sauti?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Unajua unafiki ndio mlionao.

Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli.

Uturuki amerusha makombora huko Syria kurudisha mashambulizi kama vile Israel anavyofanya akichokozwa. Ila macho yenu yote yamekaa Israel, kwa maana basi tu mna chuki na wale wasio fanana na nyie.

1000089795.png

1000089794.png

20241120_092421.jpg
 
Attachments

  • 20241119_220707.jpg
    20241119_220707.jpg
    105.6 KB · Views: 5
wakiuana wenyewe kwa wenyewe (Islam) eg Turkish VS Kurdish huji kusikia kelele Ata siku moja Ata wakifa raia million hamna anae jali

but likija swala la Israel (their common enemy) ni vilio baraa Hawa watu wana double standard ya ajabu akifanya huyu ni halali akifanya yule the same thing ni haram
 
Very foolish of them
 
Unajua unafiki ndio mlionao.

Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli.

Uturuki amerusha makombora huko Syria kurudisha mashambulizi kama vile Israel anavyofanya akichokozwa. Ila macho yenu yote yamekaa Israel, kwa maana basi tu mna chuki na wale wasio fanana na nyie.

View attachment 3156654
View attachment 3156656
View attachment 3156658
Propaganda uchwara zitawapeleka wapi?
We mleta mada nani kakwambia wanaopigana ni Syria na Uturuki!?
Uturuki imejibu shambulizi la Kurdish PKK group, aliyeshambulia ni kurdi sio serikali ya Syria.
Na kama haujui Syria ilishatoa authority ya Uturuki kushambulia maeneo yeyote ambao Kurdi wapo,maana kurdi ni chanzo moja wapo cha kuharibu amani Syria.

Uturuki haijawahi kuacha mtu asiye na hatia akahangaika,hao wote watafikiwa na misaada inayostahili.
Hadi Sasa Uturuki ime host more than 2 millions Syrians Kusini mwake,na kuna hadi mji unaitwa LITTLE DAMASCUS ndani ya UTURUKI. Hiyo yote ni kuwasaidia wasyria wanaopitia changamoto za vita.

Hizi habari za propaganda hazitawafikisha popote, uzuri mnaongea na watu wanaojielewa
 
wakiuana wenyewe kwa wenyewe (Islam) eg Turkish VS Kurdish huji kusikia kelele Ata siku moja Ata wakifa raia million hamna anae jali

but likija swala la Israel (their common enemy) ni vilio baraa Hawa watu wana double standard ya ajabu akifanya huyu ni halali akifanya yule the same thing ni haram
Mzozo wa Sudan na Israel vs Gaza unafanana!? Sudan Ile ni internal conflicts za makabila ila Israel ni occupation ya ardhi nyingine,je hivyo vinafanana!? Hivi huko shule mlienda kusomea nini aisee!?
 
Sema huo ukanda pamevurugika hatari ni mwendo wa vita usiku na mchana
Ni gun mtu
Wakurdi ni wakorofi sana.
Wanasabisha mauaji IRAN,IRAQ,SYRIA na UTURUKI.
Hao hawafai hata kuonewa huruma,hadi sasa wanavuruga amani katika mataifa manne.
Mbaya zaidi wanatumika hata na mataifa hasimu mathalan Israel inawatumia sana wakurdi kuitibu Syria na Iran.
 
wakiuana wenyewe kwa wenyewe (Islam) eg Turkish VS Kurdish huji kusikia kelele Ata siku moja Ata wakifa raia million hamna anae jali

but likija swala la Israel (their common enemy) ni vilio baraa Hawa watu wana double standard ya ajabu akifanya huyu ni halali akifanya yule the same thing ni haram
Same kwa black americans, wakiuana wao kwa wao hakuna black life matters, ila polisi mzungu awaue hata wakiwa katika kutekeleza crime, eeeh ni hatari.
Wao wanauana halafu hawasemani kwamba street code, don't snitch.
 
Sema huo ukanda pamevurugika hatari ni mwendo wa vita usiku na mchana
Ni gun mtu
Bila shaka kuna shida kubwa kwenye mafundisho ya uislam.

Mataifa karibia yote yenye waislam wengi, ukiiondoa Indonesia, wakati wote ni mapigano na kuuana!! Wakati ungetarajia kuwa mataifa hayo kwa vile watu wake karibia wote wana imani ya aina moja, yawe na amani sana, lakini uhalisia ni kinyume chake. Iran, Syria, Yemen, Lebanon, Iraq, Libya, Somalia, Mali, Nigeria, Sudan, wanalipuana na kuuana wenyewe kwa wenyewe. Je, ni mafundisho ya uislam au tabia mbaya za kikatili za waarabu zilizoingizwa kwenye imani, ndizo zinazosababisha haya yote?
 
Kwa akili zako kama firigisi mzozo wa Sudan na Israel vs Gaza unafanana!?
Sudan Ile ni internal conflicts za makabila ila Israel ni occupation ya ardhi nyingine,je hivyo vinafanana!?
Hivi huko shule mlienda kusomea nini aisee!?
Mlienda kusomea ujuha ama!?
Hata bila ya suala la ardhi, waarabu wakati wote, furaha yao ni kuuana.

Hapa hapo Gaza, utawala wa Ramallah chini ya PLO uliwahi kupigana na Hamas. Na hapo utasema walikuwa wanapigania ardhi?

Mwakajana hapo Iran, watu wapo makaburini, wenzao wakawalipua, 70 wakapoteza maisha! Yaani waarabu, kila tatizo suluhisho ni kumwua hiyo unayetofautiana naye. Na hizo tabia za kishetani zimeanza kupelekwa kwa waislam hata wa mataifa ya Afrika:
Juzi tu, baadhi ya waislam wa Uganda, wamemwua mchungaji na familia yake yote, eti yeye amesababisha waislam 8 kuuasi uislam!! Wakati kiuhalisia masula ya dini ni ushawishi wa mafundisho, lakini hawa mashetani wanataka kulazimisha!!

Na kwetu hapa si uliwahi kuusikia uleuwendawazimu uliofanyika kule Zanzibar kulazimisha watu wote wafunge wakati wa ramadhani, wakati hilo ni suala la kiimani.
 
Hawa watu asili yao vurugu

Hata kama kuna amani anatafuta hata wa kumpiga ngumi ili afurahishe hurka yake ya itikadi kali

WAPUMBAVU KIUKWEL
 
Hata bila ya suala la ardhi, waarabu wakati wote, furaha yao ni kuuana.

Hapa hapo Gaza, utawala wa Ramallah chini ya PLO uliwahi kupigana na Hamas. Na hapo utasema walikuwa wanapigania ardhi?

Mwakajana hapo Iran, watu wapo makaburini, wenzao wakawalipua, 70 wakapoteza maisha! Yaani waarabu, kila tatizo suluhisho ni kumwua hiyo unayetofautiana naye. Na hizo tabia za kishetani zimeanza kupelekwa kwa waislam hata wa mataifa ya Afrika:
Juzi tu, baadhi ya waislam wa Uganda, wamemwua mchungaji na familia yake yote, eti yeye amesababisha waislam 8 kuuasi uislam!! Wakati kiuhalisia masula ya dini ni ushawishi wa mafundisho, lakini hawa mashetani wanataka kulazimisha!!

Na kwetu hapa si uliwahi kuusikia uleuwendawazimu uliofanyika kule Zanzibar kulazimisha watu wote wafunge wakati wa ramadhani, wakati hilo ni suala la kiimani.
Uislam hauna sababu ya kuvutwa kwenye hayo machafuko.
PLO na Hamas yalikua mapigano ya madaraka hilo kila mtu analifahamu.

Iran ni hao kurdi pamoja na ISIS wanaoleta machafuko na sio tukio hilo tu hata mauaji ya Baluchistan pia wanahusika hao kurdi na ISIS.

Sasa huyo aliyeua mchungaji amefanya kwa itikadi zake maana uislam hauruhusu hilo.
Ukisema hivyo kuna mauaji mengi yamefanywa na wakristo kwa mlengwa wa kidini,mathalan anti-balaka,je tuseme ni sahihi kuwa ukristo ndio umechochea hilo!?
Mbona hautaji utulivu wa mataifa kama Senegal,Burkina Faso ambayo yana idadi kubwa ya waislam!?
Je Rwanda genocide ilisababishwa na waislam!?
Je mapigano ya M23 DR Congo yanayofadhiliwa na Rwanda yamesababishwa na waislam!?

Kuhusu Zanzibar kila mtu anafahamu vile visiwa vilijinasibu kuwa ni visiwa vya kiislam.
Pia sikusikia watu kulazimishwa kufunga bali nilisikia watu kuchapwa wakikutwa wanakula nje mwezi wa Ramadhani mchana.
 
Una point kumbuka wakati Magaidi ya ISIS yalikuwa yakiwachinja Waisilamu huko Syria na Iraq hawa Waisilamu wa Mbagala wakawa wanashangilia kuwa Dola la Kiislamu limerudi 😆😁
 
Mzozo wa Sudan na Israel vs Gaza unafanana!? Sudan Ile ni internal conflicts za makabila ila Israel ni occupation ya ardhi nyingine,je hivyo vinafanana!? Hivi huko shule mlienda kusomea nini aisee!?
Kwenye internal conflicts wanawake na Watoto wakifa hakuna shida?
 
Unajua unafiki ndio mlionao.

Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli.

Uturuki amerusha makombora huko Syria kurudisha mashambulizi kama vile Israel anavyofanya akichokozwa. Ila macho yenu yote yamekaa Israel, kwa maana basi tu mna chuki na wale wasio fanana na nyie.

View attachment 3156654
View attachment 3156656
View attachment 3156658
Kobazi hutowaona hapa. Watakua wanachungulia na kurudi kama nguchiro. Kobaz ni wabaguzi wa kidini hatari na ndicho chawafanya kuichukia Israel
 
Mzozo wa Sudan na Israel vs Gaza unafanana!? Sudan Ile ni internal conflicts za makabila ila Israel ni occupation ya ardhi nyingine,je hivyo vinafanana!? Hivi huko shule mlienda kusomea nini aisee!?
Bro umesoma kujibu au umesoma kuelewa???

Soma Tena nimeandika nini
 
Back
Top Bottom