Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Unabishanaga ili ushinde unasafari ndefu sana kifikraOkay twende taratibu,wewe ulikusudia nini kuleta hiyo map!??
Kama unaweza bishana na raman na jambo ambalo liko wazi wewe ni kiboko endelea utapewa tuzo ila huwezi badilisha ukweli