Uturuki imesabisha ukosefu wa maji kwa watu milioni moja huko Syria. Wapenda haki wa Free Palestine mbona hampazi sauti?

Okay twende taratibu,wewe ulikusudia nini kuleta hiyo map!??
Unabishanaga ili ushinde unasafari ndefu sana kifikra
Kama unaweza bishana na raman na jambo ambalo liko wazi wewe ni kiboko endelea utapewa tuzo ila huwezi badilisha ukweli
 
"Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!

Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima"

Sio maneno yangu ni maneno Yako

Soma ramani Kuna kitu utaelewa
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!

Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima

Soma ramani Kuna kitu utaelewa
Nimeisoma ramani na nimeelewa nilivyoelewa.
Ndio maana nikakwambia unajua hiyo ramani imezuka lini na kwasababu gani!?
Labda kama una makusudio mengine.
 
Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!

Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima

Soma ramani Kuna kitu utaelewa
Anaubishi wa kijinga sana dunia nzima wanajua maeneo ya kurdi ni syria, na iraq ya kaskazini, mashariki ya uturuki, na kaskazini magharibi mwa iran

Ila iraq wana-mpaka autonomous region
 
Usiwe unaropoka tu.
Wakurdi wamesambaa kama wamaasai,wamaasai utawakuta maeneo mengi ya kaskazini Manyara,Arusha,Kilimanjaro,mipaka ya Kenya.
Je unataka kusema hayo maeneo ni yao!?
Embu nenda kasome walau utawala wa KHORASAN.
Au ngojea nilete article humu.
 
Bila shaka kuna shida kubwa kwenye mafundisho ya uislam.

Mataifa karibia yote yenye waislam wengi, ukiiondoa Indonesia, wakati wote ni mapigano na kuuana!! Wakati ungetarajia kuwa mataifa hayo kwa vile watu wake karibia wote wana imani ya aina moja, yawe na amani sana, lakini uhalisia ni kinyume chake. Iran, Syria, Yemen, Lebanon, Iraq, Libya, Somalia, Mali, Nigeria, Sudan, wanalipuana na kuuana wenyewe kwa wenyewe. Je, ni mafundisho ya uislam au tabia mbaya za kikatili za waarabu zilizoingizwa kwenye imani, ndizo zinazosababisha haya yote?

Unafikiri nani anayesababisha yote hayo ?? silaha huzitoa wapi ?? , muingereza na mmarekani yuko kila mahali , au huelewi ??
 
Usiwe unaropoka tu.
Wakurdi wamesambaa kama wamaasai,wamaasai utawakuta maeneo mengi ya kaskazini Manyara,Arusha,Kilimanjaro,mipaka ya Kenya.
Je unataka kusema hayo maeneo ni yao!?
Embu nenda kasome walau utawala wa KHORASAN.
Au ngojea nilete article humu.
We ni mjinga sana
Kwa hiyo kule iraq ambako wakurdi wana-mpaka autonomous region wale ni wajinga wewe ndo unaakili
Wewe ambaye nauhakika hujawahi fika na hata kuishi unayajua kuliko wenyeji wa kule
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Kuna siku alipinga kwa nguvu zote kwamba train ya umeme haijapata hitilafu na alitumia nguvu kubwa akashibda hajakaa sawa akaletewa barua ya trc kukiri train ilipata hitilafu akaanza kuporomosha matusi
Psychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juu

Dumb ass
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
mejitia kidole mwenyewe
naona naongea na mtu MJUAJI ASIYE NA KITU KICHWANI.

Hayo yote nimepewa apo juu ila kuna kitu Nisha wai jifunza kwenye psychology kuhusu Emotional so Kuna Kitu nimemuelewa pia hahaha
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Unabishanaga ili ushinde unasafari ndefu sana kifikra
Kama unaweza bishana na raman na jambo ambalo liko wazi wewe ni kiboko endelea utapewa tuzo ila huwezi badilisha ukweli
Sibishani shida hamjui hiyo ramani imetokeaje.
Ninawapa hint nendeni mkasome mnabisha ujinga.
Kurdi ni kabila la kiajemi na kurdi ni asili ya uajemi.
Hiyo ramani inaonesha kusambaa kwao kuanzia utawala wa KHORASAN till date.
Kwasababu wakurdi nao waliwahi kuwa na utawala wao kabla haujavunjwa na Ottoman empire.
Someni acheni ubishi wa kijinga.
 
Psychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juu

Dumb ass
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
mejitia kidole mwenyewe
naona naongea na mtu MJUAJI ASIYE NA KITU KICHWANI.

Hayo yote nimepewa apo juu ila kuna kitu Nisha wai jifunza kwenye psychology kuhusu Emotional so Kuna Kitu nimemuelewa pia hahaha
Hajawahi fika wala kuishi lile eneo ila analijua kuliko wenyeji
 
Psychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juu

Dumb ass
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
mejitia kidole mwenyewe
naona naongea na mtu MJUAJI ASIYE NA KITU KICHWANI.

Hayo yote nimepewa apo juu ila kuna kitu Nisha wai jifunza kwenye psychology kuhusu Emotional so Kuna Kitu nimemuelewa pia hahaha

Jibu hoja , Lini hiyo map ilichorwa na nani aliianzisha hiyo nchi ??
 
Kuna siku alipinga kwa nguvu zote kwamba train ya umeme haijapata hitilafu na alitumia nguvu kubwa akashibda hajakaa sawa akaletewa barua ya trc kukiri train ilipata hitilafu akaanza kuporomosha matusi
Nina mzee anafanya kazi TRC ukitaka nakutajia jina mtafute MZEE KIPPAYA.
Yeye ndiye aliyenipa taarifa kuwa haikupata hitilafu,ulitaka niamini bila maneno matupu!??
 
Sibishani shida hamjui hiyo ramani imetokeaje.
Ninawapa hint nendeni mkasome mnabisha ujinga.
Kurdi ni kabila la kiajemi na kurdi ni asili ya uajemi.
Hiyo ramani inaonesha kusambaa kwao kuanzia utawala wa KHORASAN till date.
Kwasababu wakurdi nao waliwahi kuwa na utawala wao kabla haujavunjwa na Ottoman empire.
Someni acheni ubishi wa kijinga.
Wewe unambiwa kurdi wana-mpaka rais kwenye eneo la iraq ya kaskazini unabisha unajiona mzima kweli
 
Psychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juu

Dumb ass
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
mejitia kidole mwenyewe
naona naongea na mtu MJUAJI ASIYE NA KITU KICHWANI.

Hayo yote nimepewa apo juu ila kuna kitu Nisha wai jifunza kwenye psychology kuhusu Emotional so Kuna Kitu nimemuelewa pia hahaha
Nilete sehemu ambazo wewe ulianza kunitukana!?
Kwahiyo wewe kunitusi sawa ila mimi kukutusi nimeshindwa hoja!??
Aiseeee
 
Back
Top Bottom