Uturuki imesabisha ukosefu wa maji kwa watu milioni moja huko Syria. Wapenda haki wa Free Palestine mbona hampazi sauti?

Bro kwani shida ya wa Kurd ni nn? ?

Matakwa yao ni yapi mpaka wanaonekana ni wabaya kwanzia turkey Syria na Iraq???
Kitu gani wanachokosea Ambayo ww unaona wapo wrong huku Palestine wapo sawa?

Kurdish nao wanapambania Uhuru wao (Kurdistan) ambao huku Palestine unasema ni freedom fighters uku ni magaidi hahaha why mnakua na double standard za kijinga?
 
Anachokifanya uturuki kwa wakurd si ndicho anafanya Israel kwa Hamas na Hizbullah,sasa mbona hauko upande wa wakurdi kama ulivyo lwa hamas,houthi na hizbullah?
 
Kurdi ni kabila miongoni mwa makabila ya kiajemi toka enzi zile za uajemi/Anatolia.
Palestina ni taifa lenye makabila linalopambania uhuru wake.
Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima!??
 
Anachokifanya uturuki kwa wakurd si ndicho anafanya Israel kwa Hamas na Hizbullah,sasa mbona hauko upande wa wakurdi kama ulivyo lwa hamas,houthi na hizbullah?
Palestina ni taifa sio kabila.
Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!?
JE Palestina Kuna sehemu ameleta fujo zaidi ya kudai ardhi aliyoikalia Israel!??

Mbona mnaongea mkiwa hamuna ujuzi wa mambo!??
Embu ongeeni mkiwa na utafiti.
Huyo Bashar Al Assad mwenyewe alishakubali Uturuki kuwashambulia kurdi kwasababu kurdi ni moja wapo ya vikundi vilivyosababisha kuvunjika Kwa Syria.
Wewe na Assad nani anajua zaidi!?
Ardhi yao Iko Iran lile ni kabila la kiajemi kwanini lilete fujo hadi Iraq na Uturuki na Syria nchi ya kiarabu?
 
Waislamu wakikaa bila kuuana,au kutesana sidhani kama huwa wana pata utulivu huko kwenye mafuvu yao.
Dini ya MNYAZI Mungu.
*Indonesia.
*Malaysia.
*Brunei.
*Senegal.
*Qatar.
*Kuwait.
*Bahrain.
*Oman.
*UAE/Dubai.
Je hizo nchi zina vita!?

*Russia
*DR Congo
*Ukraine
*Myanmar.
Je hizi nchi za kiislam!??




 
Anachokifanya uturuki kwa wakurd si ndicho anafanya Israel kwa Hamas na Hizbullah,sasa mbona hauko upande wa wakurdi kama ulivyo lwa hamas,houthi na hizbullah?
Tena cha kuongezea,hawajaridhika kuleta fujo katika mataifa manne Uturuki,Syria,Iran na Iraq bali wanahusika na kutumiwa na Mossad ku destabilize serikali ya Iraq na Syria,pia wanahusika na matukio kibao ya kushambulia Iran kwa suicide bombing hususan Baluchistan province.
Je hii inafanana na Palestina!?
Palestina ina historia yake hadi sarafu yake ilikua nayo na ilikua ina dola yake na ilipata uhuru toka Great Britain.
Kurdi ni kabila linalofosi kuanzisha nchi,UMEONA WAPI TAIFA LA KABILA MOJA!??
AISEE MNACHEKESHA NINYI!?
 
Uko very shallow
 
Hahaha you know nothing Jon snow
 
Hahaha you know nothing Jon snow
Nakupa hint tu nenda kaifuatilie historia kuanzia kuja kwa jamii ya turkmeni kutoka Central Asia kuja Persian gulf /Anatolia hadi kuanzishwa Kwa Ottoman Empire.
Hadi Ottoman Empire kuvunjika Kuna jamii mbili ziliruhusiwa kuanzisha taifa ambazo ni ARMENIA NA AZERBAIJAN.
Kwanini Kurdi walikataliwa kuunda taifa!?
Umejiuliza kwanini!??
 
Hahaha inafurahisha sana kwa mjinga kujifanya mwerevu hahaha nilikwambia Soma kuelewa sio kuuliza.
 
Soma koment yako apo juu harafu uje usome hii koment utajua unakosea wapi
 
Soma koment yako apo juu harafu uje usome hii koment utajua unakosea wapi
Una shida katika akili.
Naona umekosa hoja unaanza vimbwanga.
Umedai kuwa sijui kitu,nimekupa hint nenda kasome historia kuanzia kuhama Kwa jamii ya Uturuki kutoka Asia ya kati kuja ghuba ya uajemi till date.
Unaanza kubwabwaja!!
Loooh
 
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
Hiyo ramani uliyoleta wewe ulikusudia nini!?
Au unaanza kupinga ulichokileta!?
Dumb ass .
Umeshindwa ata kusoma ramani mkuu?? Hahaha very fun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…