Uturuki na Syria zapigwa tena na Matetemeko ya Kipimo cha Richa 6.4 na 5.8

Morocco nayo ipo ukanda wa matetemeko ya ardhi. Hii dunia ilivyo, kuna maeneo mengine ni vimbunga, mengine ni ukame, volcano na mafuriko. Kuna maeneo maeneo mengine ya dunia hata hali ya hewa ni nzuri ajabu
Halafu kuna maeneo yamejaa binadamu wajinga kupita maelezo.
 
Yaani hayo ya kujirudia ni lazima, hawawezi pigwa na tetemeko kubwa na madogo yasifuate au mitikisiko mingine midogo isifuate. Uwa ni kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…