Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
That's mean alishindwa kuumba ulimwengu usio na mabalaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's mean alishindwa kuumba ulimwengu usio na mabalaa?
Hiyo ni logical contradictionKwako
Ila Muumba anaupendo waajabu sanaaaaa
Tuanze kwanza na wewe, unawapenda jirani zakoThen mtu anakuja anakuambia Mungu kaumba ulimwengu bora kwa binadamu kuishi na anaupendo wote
Halikua lengo hilo ila kama unampangia semaThat's mean alishindwa kuumba ulimwengu usio na mabalaa?
Muda wa hayo matetemeko yanapotokea ni dalili mbaya kwa watu wake kwamba ni adhabu.Watakuwa wamepindukia kwenye maasi fulani.Hakuna cha fault line.Zimwi likujualo, Halikuli lika kwisha.
Uturuki itakuwa ni Fault line ya Earthquake.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile
Mimi sina upendo wote, nina mapungufu mengiTuanze kwanza na wewe, unawapenda jirani zako
Lini umejinyima kidogo , ili mwanadamu mwingine kama wewe apate
Lini umetoa sehemu ya pesa yako ya starehe , ukaenda kumchangia mtu aliyeshindwa kulipa bill hospitali
Kama umeshindwa kufanya haya , unataka ukaribu na MUNGU wa nini?
MUNGU anahitaji kuwa karibu na wanadamu wenye tabia kama zake ,
Hiyo ni logical consistency wala hapangiwi na mtu
Skia, Boss kutoa ni moyo si utajiriMimi sina upendo wote, nina mapungufu mengi
Sina uwezo wote wa kuwafanya majirani zangu wapate mahitaji kulingana na matamanio yao
Mungu hana sababu ya kushindwa kufanya hayo
Hata mimi niliwaza the same.Hilitetemeko lingetskiwa litokea ukrain au urusi ili vitaa iishe...
Utalaumu Hadi jua Kali na mafuriko, Mungu kakuumba hakukuacha Kama jiwe alikupa akili upambane na mazingiraThen mtu anakuja anakuambia Mungu kaumba ulimwengu bora kwa binadamu kuishi na anaupendo wote
Hata ukihara utamlaumu Mungu kwa nini kaumba kuharaMaswala ya imani yanampa authority Mungu mwenye upendo wote kuumba ulimwengu wenye mabalaa kama haya?
Ulimwengu usio na mabalaa upo baada ya huuThat's mean alishindwa kuumba ulimwengu usio na mabalaa?
Kitunkigumu hakiwezi kuwa kigumu ikiwabkimewekwa kwenye kitu kinacho weza kutikisika, kuchanika, kujitutumua na kufanya mawimbi na nyufa.Hii kitu isikieni tu wakuu,juzi nilikuwa Dodoma kwenye mjengo mmoja wa ghorofa na nguzo za zege za maana sana,yani lilipopiga niliona zinacheza kama makaratasi,nikasema kumbe humu duniani hakuna kitu kigumu...
HukunielewaSkia, Boss kutoa ni moyo si utajiri
Kile kidogo ulicho nacho ukishindwa kukitumia , Basi kikubwa ndo itakuwa ngumu kabisa (utakuwa mbinafsi zaidi )
Mfano: Baba alitoa chungwa kwa mtoto wake mkubwa(kaka) , ila wale wadogo hakuwapa kwa makusudi - ili aone kama atagawia wenzake
Akili aliyokupa ukiitumia inaweza ikakusaidia kuepuka kifo?Utalaumu Hadi jua Kali na mafuriko, Mungu kakuumba hakukuacha Kama jiwe alikupa akili upambane na mazingira
Ndio kwanini ni hare?Hata ukihara utamlaumu Mungu kwa nini kaumba kuhara
Hujaelewa swali,Ulimwengu usio na mabalaa upo baada ya huu
IPO siku utakiri kwa kinywa chako. Mwili huu usikudanganye.Sadist