bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
hakuna man made pale, ipo kwenye 'ring of fire' ambapo tectonic plates tatu zimekutana.Pole yao sana, usikute hayo matetemeko ni Man made...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna man made pale, ipo kwenye 'ring of fire' ambapo tectonic plates tatu zimekutana.Pole yao sana, usikute hayo matetemeko ni Man made...
Anavyowapa watu majaribu anakuwa ni mjuzi wa yote au sifa hiyo inatoweka?Hivyo Mungu hana sifa za kuwatia watu majaribu?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hijatoweka hapo anajua kila kitu ndio maana nimekwambia kua majaribu hayo haya muhusu yeye bali ni kwa faida yetu wenyeweAnavyowapa watu majaribu anakuwa ni mjuzi wa yote au sifa hiyo inatoweka?
Kuna uwezekano binti wa miaka 20 akawa amezaliwa na mama mzazi mwenye miaka 3?Hijatoweka hapo anajua kila kitu ndio maana nimekwambia kua majaribu hayo haya muhusu yeye bali ni kwa faida yetu wenyewe
Hivyo yeye atabaki kua mjuzi wala hayo majaribu hana mpango nayo kwamba kuna kitu kitamuongezea au kupungua
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app