Hijatoweka hapo anajua kila kitu ndio maana nimekwambia kua majaribu hayo haya muhusu yeye bali ni kwa faida yetu wenyewe
Hivyo yeye atabaki kua mjuzi wala hayo majaribu hana mpango nayo kwamba kuna kitu kitamuongezea au kupungua
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app