jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Hahaha...we jamaa yaan unakiri kabisa ethiopia wanakuchapa..watu wanaosumbuliwa na njaa kila kukicha! Ambao tunawashika kila siku huku tz wakiwa ndani ya malori kuikimbia nchi yao!!Tutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
Hahaa nipe mfano ya drone ikidondosha SU 30 ama jet yoyote-I hope mmejiandaa na hizo ECM historian isije pinduliwa...
- Tactics za kupambana na drones Ni expensive kuliko ndrones zenyewe sijui Kama unafahamu hicho..
-Hizo drones za Turkey Zina carry weapons ambazo zinafumua Hadi mahandaki, zinapiga Hadi fighter jets ( Su30 imeshawahi dondoshwa)...just feed your brain go to YouTube and watch those drones...utakuja nishukuru hapa.
But to be honest drones are the most lethal weapon in the battle field right now. How many African countries have those electronic counter measures put in place? And then even though drones don't carry air to air missiles, most drones are so small that shooting it down from the ground or even from the air is a tall order. The equipments needed to detect and counter drones are very expensive and only a bunch of countries have them. There are even some tiny drones that dive into their targets at high speed and are nearly impossible to detect. They are called harop drones from Israel that Azerbaijan used. Azerbaijan used drones from Israel and Turkey and it payed off because Armenia did not have the capability to defend against drones. Manpads are not that effective against small drones that are fast moving, and are several kilometers above the ground and some are camoflaged to look like their surrounding, that is, it may be difficult to differentiate between the drone and the clouds. We also need to move with time. Kdf also needs to acquire these drones to avoid a situation that Armenia found itself in. Armenia beat Azerbaijan like a dog in the 1990s but in 2020 Azerbaijan has returned the favour.Not that drones are invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.
Research yourself mjombaHahaa nipe mfano ya drone ikidondosha SU 30 ama jet yoyote
Leonardo has it's African headquarters in Kenya...Wana assemble drones from Kenya I know this from a guy who works there.Plus kdf has several drones for various uses eg surviallance and reconisance pia kuna fununu Kuna locally assmbled attack drones.Kdf pia inastahili kununua drones kama ishirini ndio kakinuka na Somalia tunatuma nyuki zetu ziende zifanye mashambulizi
Hiyo manpad utakaa nayo wapi ili udungue drone mjomba...hizo drones Zinasense Hadi joto la mwili..so ata ukae wapi kitakuona tu na kukumaliza.Not that drones are invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.
Acha ujinga wewe...huwez fananisha hizo you zenu na drones za Turkey..acha ujinga tenaLeonardo has it's African headquarters in Kenya...Wana assemble drones from Kenya I know this from a guy who works there.Plus kdf has several drones for various uses eg surviallance and reconisance pia kuna fununu Kuna locally assmbled attack drones.
It's like your comprehension levels is below average ama unapenda tu ubishi. I have highlighted all the incidences ambazo Kenya imekuwa na issues MA majirani Zane, from Uganda to Ethiopia and even asked Ni wapi Kenya ilichokoza hao majirani ulishindwa kitu ya Kusem. Uganda inakalia ardhi ya Kenya kimabavu, Ethiopia is shooting down Kenyan aircraft and killing Kenyans in Kenyan soil. Unataka bado uambiwe ni mataifa gani wachokozi? Ama ni ubishi tu ndio kawaida yenu?Wapi nipo emotional mzee, me nauliza if Kenya is peace loving nation, mbona mnakorofishana na Ethiopia, Somalia etc.
Iyo peace mbona inazaa mafarakano na jirani zenu? Ww unasema sijui nn.
Yes. I have read an article that Kenya owns a couple of scan eagle drones used for surveillance. It is good if they start assembling drones in Kenya. But ultimately we need armed drones.Leonardo has it's African headquarters in Kenya...Wana assemble drones from Kenya I know this from a guy who works there.Plus kdf has several drones for various uses eg surviallance and reconisance pia kuna fununu Kuna locally assmbled attack drones.
Nilisha uliza hili swali sijawahi pewa jibu [emoji23][emoji23][emoji23]Tupeni strategy mtakayo itumia against Su- 30 na Su -29 zitakapotua hapo Nairobi.
When we decide to be diplomatic with our neighbours mnakerwa. Tukiamua kuwa confrontational like we are with Somalia pia mnakerwa. Sasa mnatakaje mibongolala?Kwaiyo mmekubali kuwaachia, haki sijawahi ona hii kitu,
Brother how reason that way at your age?
Someone should not invade your land as a Nation na useme its just a rock, even a 10cm should not happen and at that point no nation on earth shows tolerance, kama usipoweza kulinda that rock as u said what makes you think you can protect a county?
What if you'll come to realize that the rock has multibillion worthy mineral deposits beneath ?
Hata mimi pia nashangaa ni nini haelewi hapo. Wanapenda tu ubishi hawa watuWao ndio wanatuchokoza. Nini ngumu kuelewa hapo?
I have no comprehension problems/issues. The thing is, mnapenda ubishi. It's in your blood you peopleUna matatizo ya kuelewa kilichoandikwa, soma tena elewa lengo lake.
Huoni ni uchokozi Ethiopia kuangusha ndege za Kenya kwenye ardhi ya Kenya na kuua watu kwenye territory ya Kenya? Mnachekesha kweli nyie watuSomalia na Ethiopians amewachokozaje sasa.
Yes. I have read an article that Kenya owns a couple of scan eagle drones used for surveillance. It is good if they start assembling drones in Kenya. But ultimately we need armed drones.
The said Turkish drones are relatively big .Infact most Attack drones are the size of jet.. armenia lost largely because of suicide drones from Israel which are relatively small and hard to defend against.But to be honest drones are the most lethal weapon in the battle field right now. How many African countries have those electronic counter measures put in place? And then even though drones don't carry air to air missiles, most drones are so small that shooting it down from the ground or even from the air is a tall order. The equipments needed to detect and counter drones are very expensive and only a bunch of countries have them. There are even some tiny drones that dive into their targets at high speed and are nearly impossible to detect. They are called harop drones from Israel that Azerbaijan used. Azerbaijan used drones from Israel and Turkey and it payed off because Armenia did not have the capability to defend against drones. Manpads are not that effective against small drones that are fast moving, and are several kilometers above the ground and some are camoflaged to look like their surrounding, that is, it may be difficult to differentiate between the drone and the clouds. We also need to move with time. Kdf also needs to acquire these drones to avoid a situation that Armenia found itself in. Armenia beat Azerbaijan like a dog in the 1990s but in 2020 Azerbaijan has returned the favour.
And this is what makes you. Mnatamani sana Kenya iingie vita na majirani zake ndio muichafulie jina vizuri. Right now we have issues with Somalia na mnasema jinsi Kenya ni taifa lisilopenda amani na majirani zake. Tukiamua kuemploy diplomacy like we do with Uganda na Ethiopia pia mnakasirika na kusema tuko na Jeshi dhaifu. War is an ugly thing and it's even stupid to wish for it. Not all issues are handled through blood and gun. Kuna mambo yanaongelewa tu na yanaisha.wewe buda ndio uko na emotion tupu[emoji2][emoji2][emoji2].
ishu ya boundaries ni ishu sensitive sana usilete utani,hapo ndipo utapima ubavu wa jeshi la nchi husika maana ndio kazi yake kuu.
nyinyi jeshi hamna,mna kikundi cha wanamgambo waliosajiliwa kisheria,mara kibao wamedhihirisha kushindwa tusk kibao.
migingo uganda wamekita vitambi kibabe mmekausha.
kule hindi somalia wamekiwasha na hamna namna zaidi ya kulalamika umoja wa mataifa[emoji23]
ethiopi ndio wakafanya ubabe wa wazi kabisa.
bado sitaki kusema tz ilifanya nini mlipoleta kiherehere kwenye klm mount.
vita sio jambo zuri,ila ukiona unadokolewa sana,ujue una udhaifu au unagusa mali za watu.
Emotions zako peleka tandale. Bring me a source that states Kenya has ever claimed mount Kilimanjaro is in Kenyan soilEven mt. Kilimanjaro you claim it's yours .
Because of your history we will never support you that migingo belong to kunyaland
And this is what makes you. Mnatamani sana Kenya iingie vita na majirani zake ndio muichafulie jina vizuri. Right now we have issues with Somalia na mnasema jinsi Kenya ni taifa lisilopenda amani na majirani zake. Tukiamua kuemploy diplomacy like we do with Uganda na Ethiopia pia mnakasirika na kusema tuko na Jeshi dhaifu. War is an ugly thing and it's even stupid to wish for it. Not all issues are handled through blood and gun. Kuna mambo yanaongelewa tu na yanaisha.
It's okay to demean Kenyan army like you do coz as a person who lives in a country with its own army, there's no way utasifu za majirani hata kama wenu wanachana bunga dhidi ya wanamgambo. That's being patriotic and I totally understand you
Mmezoea utapeli ngoja somalia awanyuke halafu uje upost upuuzi wako hapa wa kichokoraaEmotions zako peleka tandale. Bring me a source that states Kenya has ever claimed mount Kilimanjaro is in Kenyan