wewe buda ndio uko na emotion tupu[emoji2][emoji2][emoji2].
ishu ya boundaries ni ishu sensitive sana usilete utani,hapo ndipo utapima ubavu wa jeshi la nchi husika maana ndio kazi yake kuu.
nyinyi jeshi hamna,mna kikundi cha wanamgambo waliosajiliwa kisheria,mara kibao wamedhihirisha kushindwa tusk kibao.
migingo uganda wamekita vitambi kibabe mmekausha.
kule hindi somalia wamekiwasha na hamna namna zaidi ya kulalamika umoja wa mataifa[emoji23]
ethiopi ndio wakafanya ubabe wa wazi kabisa.
bado sitaki kusema tz ilifanya nini mlipoleta kiherehere kwenye klm mount.
vita sio jambo zuri,ila ukiona unadokolewa sana,ujue una udhaifu au unagusa mali za watu.