Uturuki yapeleka Vikosi na Drones Somalia, karibu na mpaka wa Kenya

Tutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
Hahaha...we jamaa yaan unakiri kabisa ethiopia wanakuchapa..watu wanaosumbuliwa na njaa kila kukicha! Ambao tunawashika kila siku huku tz wakiwa ndani ya malori kuikimbia nchi yao!!
 
-I hope mmejiandaa na hizo ECM historian isije pinduliwa...
- Tactics za kupambana na drones Ni expensive kuliko ndrones zenyewe sijui Kama unafahamu hicho..
-Hizo drones za Turkey Zina carry weapons ambazo zinafumua Hadi mahandaki, zinapiga Hadi fighter jets ( Su30 imeshawahi dondoshwa)...just feed your brain go to YouTube and watch those drones...utakuja nishukuru hapa.
Hahaa nipe mfano ya drone ikidondosha SU 30 ama jet yoyote
 
Not that drones are invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.
But to be honest drones are the most lethal weapon in the battle field right now. How many African countries have those electronic counter measures put in place? And then even though drones don't carry air to air missiles, most drones are so small that shooting it down from the ground or even from the air is a tall order. The equipments needed to detect and counter drones are very expensive and only a bunch of countries have them. There are even some tiny drones that dive into their targets at high speed and are nearly impossible to detect. They are called harop drones from Israel that Azerbaijan used. Azerbaijan used drones from Israel and Turkey and it payed off because Armenia did not have the capability to defend against drones. Manpads are not that effective against small drones that are fast moving, and are several kilometers above the ground and some are camoflaged to look like their surrounding, that is, it may be difficult to differentiate between the drone and the clouds. We also need to move with time. Kdf also needs to acquire these drones to avoid a situation that Armenia found itself in. Armenia beat Azerbaijan like a dog in the 1990s but in 2020 Azerbaijan has returned the favour.
 
Kdf pia inastahili kununua drones kama ishirini ndio kakinuka na Somalia tunatuma nyuki zetu ziende zifanye mashambulizi
Leonardo has it's African headquarters in Kenya...Wana assemble drones from Kenya I know this from a guy who works there.Plus kdf has several drones for various uses eg surviallance and reconisance pia kuna fununu Kuna locally assmbled attack drones.
 
Not that drones are invincible as you think ....there are many inexpensive ways to counter them.Electronic counter measures ( ECM)being one of them.Alafu pia most drones don't carry air to air misilles that means they are defenseless when up in the air they can be shot down by armed aircrafts or manpads.
Hiyo manpad utakaa nayo wapi ili udungue drone mjomba...hizo drones Zinasense Hadi joto la mwili..so ata ukae wapi kitakuona tu na kukumaliza.
 
Leonardo has it's African headquarters in Kenya...Wana assemble drones from Kenya I know this from a guy who works there.Plus kdf has several drones for various uses eg surviallance and reconisance pia kuna fununu Kuna locally assmbled attack drones.
Acha ujinga wewe...huwez fananisha hizo you zenu na drones za Turkey..acha ujinga tena
 
Wapi nipo emotional mzee, me nauliza if Kenya is peace loving nation, mbona mnakorofishana na Ethiopia, Somalia etc.
Iyo peace mbona inazaa mafarakano na jirani zenu? Ww unasema sijui nn.
It's like your comprehension levels is below average ama unapenda tu ubishi. I have highlighted all the incidences ambazo Kenya imekuwa na issues MA majirani Zane, from Uganda to Ethiopia and even asked Ni wapi Kenya ilichokoza hao majirani ulishindwa kitu ya Kusem. Uganda inakalia ardhi ya Kenya kimabavu, Ethiopia is shooting down Kenyan aircraft and killing Kenyans in Kenyan soil. Unataka bado uambiwe ni mataifa gani wachokozi? Ama ni ubishi tu ndio kawaida yenu?
 
Leonardo has it's African headquarters in Kenya...Wana assemble drones from Kenya I know this from a guy who works there.Plus kdf has several drones for various uses eg surviallance and reconisance pia kuna fununu Kuna locally assmbled attack drones.
Yes. I have read an article that Kenya owns a couple of scan eagle drones used for surveillance. It is good if they start assembling drones in Kenya. But ultimately we need armed drones.
 
Kwaiyo mmekubali kuwaachia, haki sijawahi ona hii kitu,
Brother how reason that way at your age?
Someone should not invade your land as a Nation na useme its just a rock, even a 10cm should not happen and at that point no nation on earth shows tolerance, kama usipoweza kulinda that rock as u said what makes you think you can protect a county?
What if you'll come to realize that the rock has multibillion worthy mineral deposits beneath ?
When we decide to be diplomatic with our neighbours mnakerwa. Tukiamua kuwa confrontational like we are with Somalia pia mnakerwa. Sasa mnatakaje mibongolala?
 
Somalia na Ethiopians amewachokozaje sasa.
Huoni ni uchokozi Ethiopia kuangusha ndege za Kenya kwenye ardhi ya Kenya na kuua watu kwenye territory ya Kenya? Mnachekesha kweli nyie watu
 
Yes. I have read an article that Kenya owns a couple of scan eagle drones used for surveillance. It is good if they start assembling drones in Kenya. But ultimately we need armed drones.
But to be honest drones are the most lethal weapon in the battle field right now. How many African countries have those electronic counter measures put in place? And then even though drones don't carry air to air missiles, most drones are so small that shooting it down from the ground or even from the air is a tall order. The equipments needed to detect and counter drones are very expensive and only a bunch of countries have them. There are even some tiny drones that dive into their targets at high speed and are nearly impossible to detect. They are called harop drones from Israel that Azerbaijan used. Azerbaijan used drones from Israel and Turkey and it payed off because Armenia did not have the capability to defend against drones. Manpads are not that effective against small drones that are fast moving, and are several kilometers above the ground and some are camoflaged to look like their surrounding, that is, it may be difficult to differentiate between the drone and the clouds. We also need to move with time. Kdf also needs to acquire these drones to avoid a situation that Armenia found itself in. Armenia beat Azerbaijan like a dog in the 1990s but in 2020 Azerbaijan has returned the favour.
The said Turkish drones are relatively big .Infact most Attack drones are the size of jet.. armenia lost largely because of suicide drones from Israel which are relatively small and hard to defend against.
 
We subiri tu wachezecheze JWTZ wakiona ujinga mwingi watapelekwa huko wote Kenya,Somalia watakula mboko mpaka wakalale .Tanzania hatupendi ujinga
 
wewe buda ndio uko na emotion tupu[emoji2][emoji2][emoji2].

ishu ya boundaries ni ishu sensitive sana usilete utani,hapo ndipo utapima ubavu wa jeshi la nchi husika maana ndio kazi yake kuu.
nyinyi jeshi hamna,mna kikundi cha wanamgambo waliosajiliwa kisheria,mara kibao wamedhihirisha kushindwa tusk kibao.

migingo uganda wamekita vitambi kibabe mmekausha.
kule hindi somalia wamekiwasha na hamna namna zaidi ya kulalamika umoja wa mataifa[emoji23]
ethiopi ndio wakafanya ubabe wa wazi kabisa.
bado sitaki kusema tz ilifanya nini mlipoleta kiherehere kwenye klm mount.

vita sio jambo zuri,ila ukiona unadokolewa sana,ujue una udhaifu au unagusa mali za watu.
And this is what makes you. Mnatamani sana Kenya iingie vita na majirani zake ndio muichafulie jina vizuri. Right now we have issues with Somalia na mnasema jinsi Kenya ni taifa lisilopenda amani na majirani zake. Tukiamua kuemploy diplomacy like we do with Uganda na Ethiopia pia mnakasirika na kusema tuko na Jeshi dhaifu. War is an ugly thing and it's even stupid to wish for it. Not all issues are handled through blood and gun. Kuna mambo yanaongelewa tu na yanaisha.

It's okay to demean Kenyan army like you do coz as a person who lives in a country with its own army, there's no way utasifu za majirani hata kama wenu wanachana bunga dhidi ya wanamgambo. That's being patriotic and I totally understand you
 
Sasa mbona unalia lia nyie c mnajifanya ndo wababe !!!
Always dont bite more than you can chew”

Mnajaribu kucontrol somalia through divide and rule
Kwa kuongeza ushawishi jubaland....but mnasahau kua somalia n nchi yenye mabwana wengi ikiwemo ethiopia ,uturuki ,USA na nyingine

Sasa pambaneni nyie s ndo israel ya africa mashariki cyo mnalialia
 
Back
Top Bottom