ndio uone jinsi mlivyo underdog ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli ujinga haina dawa. Migingo ni ardhi ya Kenya na imekaliwa na Uganda kimabavu
Underdog?? 😂 😂 That's what you think? Kenya has the biggest military size in the region and also the biggest military budget in the region. Ours is over $1b while Uganda's is a paltry $347m. How do you even start comparing the two? Our military is ranked above all the east African countries. Kama sisi ni underdogs how comes we are ranked top in the region? Tukiamua kuemploy diplomacy instead of mivurugano, don't think we don't know our position in this regionndio uone jinsi mlivyo underdog ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani uganda wanakaa kwenu kimabavu na mmekausha,hata ushawishi kumaliza hili swala hamna,maana vita sio ishu!!!!
ukajifunze maana ya diplomat ndio uje tuendelee.Underdog?? [emoji23] [emoji23] That's what you think? Kenya has the biggest military size in the region and also the biggest military budget in the region. Ours is over $1b while Uganda's is a paltry $347m. How do you even start comparing the two? Our military is ranked above all the east African countries. Kama sisi ni underdogs how comes we are ranked top in the region? Tukiamua kuemploy diplomacy instead of mivurugano, don't think we don't know our position in this region
Kazi kubwa ya jeshi ni kulinda mipaka yake na nyie uganda kanyakua aridhi yenu act of war[emoji23][emoji23][emoji1787]Underdog?? [emoji23] [emoji23] That's what you think? Kenya has the biggest military size in the region and also the biggest military budget in the region. Ours is over $1b while Uganda's is a paltry $347m. How do you even start comparing the two? Our military is ranked above all the east African countries. Kama sisi ni underdogs how comes we are ranked top in the region? Tukiamua kuemploy diplomacy instead of mivurugano, don't think we don't know our position in this region
Hata sasa jeshi letu inalinda mipaka dhidi ya Somalia. But what have you people said? kwamba Kenya inapenda kuvurugana na majirani zake. Tukiamua pia kutumia diplomacy dhidi ya Uganda, mnasema sisi ni dhaifu. Swali ni: tutakuwaje dhaifu dhidi ya jeshi ambalo tuko juu yao kwa kila kitu?Kazi kubwa ya jeshi ni kulinda mipaka yake na nyie uganda kanyakua aridhi yenu act of war[emoji23][emoji23][emoji1787]
Ubora wa jeshi hupimwa kwa mafanikio waliyopata kwenye medaniHata sasa jeshi letu inalinda mipaka dhidi ya Somalia. But what have you people said? kwamba Kenya inapenda kuvurugana na majirani zake. Tukiamua pia kutumia diplomacy dhidi ya Uganda, mnasema sisi ni dhaifu. Swali ni: tutakuwaje dhaifu dhidi ya jeshi ambalo tuko juu yao kwa kila kitu?
Gunzi linaanza kuwaingia matakoni.Kenya shida yao wanajiona US ya Afrika Mashariki. Wameshavutana na Uganda, Tanzania na sasa Somalia. Hawa manyang'au hawsna nidhamu kabisa
Hebu rusheni hata jiwe huku tuone...?Tutakong'otwa na nani? Hapa EA Ethiopia tu ndio wanaoweza kutuhemesha. Hao wengine tunawapiga kama drum.
Ndio hawa shabibi unaowasifia kama bwana zako. Tumewatuma Ahera wakajivinjari na mabikra, ni kama washakuchoka!Mkuu shababi ikiamua kuvuruga Nairobi ni suala la sekunde tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sisi tunasubiri majibu yao[emoji23][emoji23][emoji23].Ndio hawa shabibi unaowasifia kama bwana zako. Tumewatuma Ahera wakajivinjari na mabikra, ni kama washakuchoka! View attachment 1660558View attachment 1660559View attachment 1660561View attachment 1660562View attachment 1660564View attachment 1660570View attachment 1660571View attachment 1660572View attachment 1660573View attachment 1660574View attachment 1660575View attachment 1660576
Roho ya mchawi ndio hii.sisi tunasubiri majibu yao[emoji23][emoji23][emoji23].
bahati mbaya wao huwa wanafanya mbaya zaidi[emoji24][emoji24]
Huyommoja mmemkata kichwa auNdio hawa shabibi unaowasifia kama bwana zako. Tumewatuma Ahera wakajivinjari na mabikra, ni kama washakuchoka! View attachment 1660558View attachment 1660559View attachment 1660561View attachment 1660562View attachment 1660564View attachment 1660570View attachment 1660571View attachment 1660572View attachment 1660573View attachment 1660574View attachment 1660575View attachment 1660576
sisi tunasubiri majibu yao[emoji23][emoji23][emoji23].
bahati mbaya wao huwa wanafanya mbaya zaidi[emoji24][emoji24]
mkuu watanzania wengi hapa JF wana roho za kishetani.....natumai watanzania kwa ujumla wapo tofautiMbona unasupport Al Shabab dhidi ya Wakenya innocent ambao hawajafanya makosa yoyote? Hii ni kama mimi kusupport magaidi walioshambulia Mtwara na kuuwa Watanzania innocent. Kamwe siwezi kufanya kitu kama hicho. Japo tuna ushindani lakini siwezi kuomba kuwa hawa magaidi wafanye mashambulizi na kuuwa Watanzania wasio na makosa? Yaani wewe ni mjinga tu.
shida ni kwamba mnaleta ushabiki kwenye ishu serious,nasisi tunafanya kama burudani.Mbona unasupport Al Shabab dhidi ya Wakenya innocent ambao hawajafanya makosa yoyote? Hii ni kama mimi kusupport magaidi walioshambulia Mtwara na kuuwa Watanzania innocent. Kamwe siwezi kufanya kitu kama hicho. Japo tuna ushindani lakini siwezi kuomba kuwa hawa magaidi wafanye mashambulizi na kuuwa Watanzania wasio na makosa? Yaani wewe ni mjinga tu.
hawa jamaa bana,mh.ni baada ya tukio hili?View attachment 1661072
tena bila asisti awawezi chochote kileshida ni kwamba mnaleta ushabiki kwenye ishu serious,nasisi tunafanya kama burudani.
mwezako yuko anajisifu kwamba hawa ni polisi tu wamewafanya hivi alshabaab,vipi kdf!!!sijui anajua nini kuhusu ugaidi!!!
sisi tumepigwa na ugaidi pia,mbaya zaisi wa kwetu haukuwa na sababu za msingi,kama wa kwenu.hao watawasumbua sana,muhimu acheni sifa za kijinga namna hii.
Lakini wewe pia umefanya makosa sana kutuombea mabaya. Yaani kabisa unaomba kwamba hawa magaidi waje Kenya kuangamiza watu innocent? Ni lini uliona Mkenya yeyote akiomba kuwa magaidi waje Tanzania kuwaangamiza?shida ni kwamba mnaleta ushabiki kwenye ishu serious,nasisi tunafanya kama burudani.
mwezako yuko anajisifu kwamba hawa ni polisi tu wamewafanya hivi alshabaab,vipi kdf!!!sijui anajua nini kuhusu ugaidi!!!
sisi tumepigwa na ugaidi pia,mbaya zaisi wa kwetu haukuwa na sababu za msingi,kama wa kwenu.hao watawasumbua sana,muhimu acheni sifa za kijinga namna hii.
kuna sehemu nimeomba. unionyeshe!!zaidi ya kukwambia nasubiri majibu yao!!!Lakini wewe pia umefanya makosa sana kutuombea mabaya. Yaani kabisa unaomba kwamba hawa magaidi waje Kenya kuangamiza watu innocent? Ni lini uliona Mkenya yeyote akiomba kuwa magaidi waje Tanzania kuwaangamiza?