mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ndio uone jinsi mlivyo underdog ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli ujinga haina dawa. Migingo ni ardhi ya Kenya na imekaliwa na Uganda kimabavu
yaani uganda wanakaa kwenu kimabavu na mmekausha,hata ushawishi kumaliza hili swala hamna,maana vita sio ishu!!!!