Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,

Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri kutumia tadalafi kuongeza confidence ,,Sasa nikajikuta nimetumia takribani mara 40 ktk kipindi chote Cha miaka 3

Sasa imefika hatua akili inawaza kushindwa na kufikiria kuhusu kutumia dawa ili kuweza kumaintain uume usilale,kwa Sasa uume unasimama ila Kila nkitaka kuliendea tendo uume utalala
Msaada wenu nifanyaje niweze kupona kabisa uume usimame Bila Kulala mpaka mwenza wangu aridhike
 
Asubuhi ukiamka unakuta jogoo kasimama kwa hasira?
Vip ukilala mchana ukiwa umeshiba?
Kama hapo unaamka ukiwa Jogoo ameshtuka, huna tatizo la nguvu za kiume, bali
Utakuwa na tatizo la kisaikologia.
Abstain from sex, huku ukifanya mazoez kwa muda hata wa miezi mitatu.
 
Hali uliyo nayo ni hofu ya kushidwa kufanya tendo na kumridhisha mwenza wako au unahofia je ikilala tena itakuwaje?

Wewe huna shida ya kimwili ila ya kisaikolojia,inahitaji upate mwenza ambaye kwanza ajue shida yako,kisha akuvumilie halafu akasaidie kupona hiyo shida yako

Katika hila inabidi uwe muwazi kwa mwenza wako ili apate kuelewa changamoto yako na kuwa msaada kwako

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
 
Njoo PM
 
Nikiamka usiku kukojoa uume umesimama,nkiamka asubuh pia uume umesimama,nahata nkiwa na ashki namwanamke nikiwa nae uume umesima..changamoto nikufanya yaan ukiingiza ukeni au hata kabla ya kuingiza utalala ndani ya dk1
 
Achana na ngono kwa mwezi 1, tafuta asali og litre 1 na nusu, weka vitunguu swaumu 4, mdalasini wa unga (India),

Ongeza tangawizi 4 kubwa(kunia humo kwa kisagio), karafuu iliyo twangwa nusu kikombe.

Saga kwenye blender, kamulia limao 3 kubwa, kunywa vijiko 3*3 kwa siku.

Matunda, parachichi 1, ndizi 2, karanga mbichi, tikiti maji kipande1.

Chai - Chai ya tangawizi kali mix karafuu iliyo twangwa, kitunguu swaumu, weka asali kijiko 1 au viwili.

Acha nyeto, kuangalia movie chafu, piga zoezi la squat, na endesha baiskeli boya wee.
 
Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,

Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri kutumia tadalafi kuongeza confidence ,,Sasa nikajikuta nimetumia takribani mara 40 ktk kipindi chote Cha miaka 3

Sasa imefika hatua akili inawaza kushindwa na kufikiria kuhusu kutumia dawa ili kuweza kumaintain uume usilale,kwa Sasa uume unasimama ila Kila nkitaka kuliendea tendo uume utalala
Msaada wenu nifanyaje niweze kupona kabisa uume usimame Bila Kulala mpaka mwenza wangu aridhike
Daaah i feel sorry for you
 
Hali uliyo nayo ni hofu ya kushidwa kufanya tendo na kumridhisha mwenza wako au unahofia je ikilala tena itakuwaje?

Wewe huna shida ya kimwili ila ya kisaikolojia,inahitaji upate mwenza ambaye kwanza ajue shida yako,kisha akuvumilie halafu akasaidie kupona hiyo shida yako

Katika hila inabidi uwe muwazi kwa mwenza wako ili apate kuelewa changamoto yako na kuwa msaada kwako

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Nikwe

Mkuu nikweli kabisa nahofu kubwa sana yakushindwa
Hali uliyo nayo ni hofu ya kushidwa kufanya tendo na kumridhisha mwenza wako au unahofia je ikilala tena itakuwaje?

Wewe huna shida ya kimwili ila ya kisaikolojia,inahitaji upate mwenza ambaye kwanza ajue shida yako,kisha akuvumilie halafu akasaidie kupona hiyo shida yako

Katika hila inabidi uwe muwazi kwa mwenza wako ili apate kuelewa changamoto yako na kuwa msaada kwako

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Mkuu nikweli kabisa nakuwa nahofu kubwa sana yakushindwa kufanya tendo nakumridhisha mwenza napia nakuwa nawaza ikilala je nahata nifanikiwa kufanya bas ntakuwa nawaza ikilala hapo Niko tayar uume ukeni napampu nawaza hivo na baada ya dk2 unalala,mwenza nshamulewesha sana ila nikama uelewa wake hatilii maanani anatake aesy
 
Achana na ngono kwa mwezi 1, tafuta asali og litre 1 na nusu, weka vitunguu swaumu 4, mdalasini wa unga (India),

Ongeza tangawizi 4 kubwa(kunia humo kwa kisagio), karafuu iliyo twangwa nusu kikombe.

Saga kwenye blender, kamulia limao 3 kubwa, kunywa vijiko 3*3 kwa siku.

Matunda, parachichi 1, ndizi 2, karanga mbichi, tikiti maji kipande1.

Chai - Chai ya tangawizi kali mix karafuu iliyo twangwa, kitunguu swaumu, weka asali kijiko 1 au viwili.

Acha nyeto, kuangalia movie chafu, piga zoezi la squat, na endesha baiskeli boya wee.
Huu uchawi sasa
 
Namaanisha uume unasimama ila nguvu ni ndogo unawahi kulala uume ,napia Nina uoga wa kushindwa uliopitiliza napia Nina hamaki
Shida ipo hapa masta,wasiwasi na pump kuinuka ni vitu viwili tofauti hapo ni either uache uwoga akili iwe relaxed shughuli iendelee au uendelee kuwaza ushindwe kweli.

Hakunaga dawa zaidi ya wewe kujiamini hata aliyekupa dawa mwanzo alikosea na amezidi kukuharibu kisaikolojia,
Nb;kama una mke mzuri ndiyo balaa zaidi ukiwaza umeshindwa kumridhisha.
 
Achana na ngono kwa mwezi 1, tafuta asali og litre 1 na nusu, weka vitunguu swaumu 4, mdalasini wa unga (India),

Ongeza tangawizi 4 kubwa(kunia humo kwa kisagio), karafuu iliyo twangwa nusu kikombe.

Saga kwenye blender, kamulia limao 3 kubwa, kunywa vijiko 3*3 kwa siku.

Matunda, parachichi 1, ndizi 2, karanga mbichi, tikiti maji kipande1.

Chai - Chai ya tangawizi kali mix karafuu iliyo twangwa, kitunguu swaumu, weka asali kijiko 1 au viwili.

Acha nyeto, kuangalia movie chafu, piga zoezi la squat, na endesha baiskeli boya wee.
Kumbe ndio zako sio. Mchanganyiko huo na mazoezi anaweza akajikita anabaka kama hana mke.
 
Shida ipo hapa masta,wasiwasi na pump kuinuka ni vitu viwili tofauti hapo ni either uache uwoga akili iwe relaxed shughuli iendelee au uendelee kuwaza ushindwe kweli.

Hakunaga dawa zaidi ya wewe kujiamini hata aliyekupa dawa mwanzo alikosea na amezidi kukuharibu kisaikolojia,
Nb;kama una mke mzuri ndiyo balaa zaidi ukiwaza umeshindwa kumridhisha.
Hiyo mkuu nb umenichoma kweli maana namke chombo balaa
 
Back
Top Bottom