Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

Sometimes uwanja ukishakuwa na hofu nao utashindwa.
Pia hakikisha unakunywa maji mengi nusu saa kabla ya tendo ili kuifanya damu yko itembee vzr
 
Mkuu Nina program ya chakula na mazoezi naamini itakusaidia Mimi pia imenisaidia mno na ni mazoezi unajifanyia hata ndani kwako +vyakula vinapatikana popote mjini (masokoni) kijijini shambani

0742609771 WhatsApp
 
Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,

Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri kutumia tadalafi kuongeza confidence ,,Sasa nikajikuta nimetumia takribani mara 40 ktk kipindi chote Cha miaka 3

Sasa imefika hatua akili inawaza kushindwa na kufikiria kuhusu kutumia dawa ili kuweza kumaintain uume usilale,kwa Sasa uume unasimama ila Kila nkitaka kuliendea tendo uume utalala
Msaada wenu nifanyaje niweze kupona kabisa uume usimame Bila Kulala mpaka mwenza wangu aridhike
Tadalafi ni manini hayo?
Nieleweshe nami niweze kushea.
 
Nenda polini, tafuta mti wa "mlundalunda" wasukuma tunauita hivyo, kata magamba yake,yasafishe kisha yaloweke kwenye maji,weka juani,maji yatabadilika kuwa mekundu,tumia maji hayo mara kwa mara hadi tatizo litakapokwisha. Mlundalunda ni dawa nzuri sana kwa tumbo,kuzibua milija iliyoziba,kaswende,kisonono,unyoro,kiuno nk. Hutibu pia shida ya upungufu wa nguvu za kiume,mfano kama we ni kimoja chali basi utakuwa unaenda 4 hadi 5, kama huunganishi mabao inatibu nk nk nk. Pia usiwaze sana ngono. Nb mrejesho baada ya mwezi mmoja wa matumizi tafadhari.
 
Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,

Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri kutumia tadalafi kuongeza confidence ,,Sasa nikajikuta nimetumia takribani mara 40 ktk kipindi chote Cha miaka 3

Sasa imefika hatua akili inawaza kushindwa na kufikiria kuhusu kutumia dawa ili kuweza kumaintain uume usilale,kwa Sasa uume unasimama ila Kila nkitaka kuliendea tendo uume utalala
Msaada wenu nifanyaje niweze kupona kabisa uume usimame Bila Kulala mpaka mwenza wangu aridhike
Tadalafi ndiyo kitu gani ni dawa au nini ili tuchangie kitu kinacho eleweka
 
Nikiamka usiku kukojoa uume umesimama,nkiamka asubuh pia uume umesimama,nahata nkiwa na ashki namwanamke nikiwa nae uume umesima..changamoto nikufanya yaan ukiingiza ukeni au hata kabla ya kuingiza utalala ndani ya dk1
Jiamini au acha iyo hofu yakuwa itakuwaje huku ukipiga foreplay za kutosha
 
Jiamini au acha iyo hofu yakuwa itakuwaje huku ukipiga foreplay za kutosha
Nikipiga foreplay ndani ya dakika5 za mwanzo itakua umesimama kadri muda unavozid kwenda ndo ilala kabisa hainukii,kwaiyo inabid nitumie hizo dakika kufanya tendo
 
Back
Top Bottom