Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

Hujaeleza vizuri lakini ww utakua una tatizo moja linaitwa Tight pelvic floor. Ukiwa na hilo tatizo damu haiwezi pita vizuri kwenda kwenye uume, na kama ikipita ni kwa kidogo sana ambayo haiwezi kufanya uume usimame muda mrefu. Na tatizo hilo pia linafanya uweze kufika kileleni kwa haraka mno. Na hakuna dawa utatumia upone ila kuna mazoezi maalumu hayo ukianza kuyafanya ndani ya mwezi utapata matokeo makubwa tu. Ukiendelea kuyafanya baada miezi 3-6 tatizo lako linaisha kabisa..!

Na wala sio kwamba tatizo hilo linasababishwa na hofu, bali hilo tatizo ndio linakujengea hofu
 
mazoezi ya pelvic floor niyap hayo mkuu nielekeze
 
Pole sana MKUU but haya mambo yasikie tu kwa mwenzako usiombe yakukute, tena yakukute upo na vitoto vya 2000, unaweza jikuta unahama nchi
 
Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,

Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri kutumia tadalafi kuongeza confidence ,,Sasa nikajikuta nimetumia takribani mara 40 ktk kipindi chote Cha miaka 3

Sasa imefika hatua akili inawaza kushindwa na kufikiria kuhusu kutumia dawa ili kuweza kumaintain uume usilale,kwa Sasa uume unasimama ila Kila nkitaka kuliendea tendo uume utalala
Msaada wenu nifanyaje niweze kupona kabisa uume usimame Bila Kulala mpaka mwenza wangu aridhike
Mkuu pole kwanza hiyo dawa ya tadalafi sio nzuri kiafya inaharibu kabisa mishipa ya uume wako ina madhara makubwa hiyo dawa ya tadalafi Ukipenda kuitumia kila wakati. Nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona.

Are there any dangers in taking tadalafil?
Talk with your doctor before you drink alcohol. If you drink grapefruit juice or eat grapefruit often, talk with your doctor. Very bad and sometimes deadly side effects like a heartbeat that does not feel normal, heart attack, stroke, and very bad high blood pressure have happened with tadalafil.
 
Hali uliyo nayo ni hofu ya kushidwa kufanya tendo na kumridhisha mwenza wako au unahofia je ikilala tena itakuwaje?

Wewe huna shida ya kimwili ila ya kisaikolojia,inahitaji upate mwenza ambaye kwanza ajue shida yako,kisha akuvumilie halafu akasaidie kupona hiyo shida yako

Katika hila inabidi uwe muwazi kwa mwenza wako ili apate kuelewa changamoto yako na kuwa msaada kwako

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Sasa si uwe mwenza wake ili umsaidie?
 
Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo,

Sasa katika kuhaingaika sana mahospital miaka3 iliyopita nkakutana na Prof wa urology akapima Kila kitu hakuona shida,akashauri kutumia tadalafi kuongeza confidence ,,Sasa nikajikuta nimetumia takribani mara 40 ktk kipindi chote Cha miaka 3

Sasa imefika hatua akili inawaza kushindwa na kufikiria kuhusu kutumia dawa ili kuweza kumaintain uume usilale,kwa Sasa uume unasimama ila Kila nkitaka kuliendea tendo uume utalala
Msaada wenu nifanyaje niweze kupona kabisa uume usimame Bila Kulala mpaka mwenza wangu aridhike
Miaka 38 bado sana unaonekana wewe ni mvivu wa mazoez wafanya sana mazoez kurudisha confidence na kukufanya uwe na endurance katika tendo
 
Back
Top Bottom