Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

Wazo lako la kutaka kumridhisha mkeo ndilo linakufanya ushindwe.Wewe relax,huyo ni mkeo umridhishe au usimridhishe si jambo kubwa kama ni mkeo na anakuheshimu.Ukiondoa mawazo hayo utaanza kuona mabadiliko.Wajaja wanatumia kukosa maarifa ya uzazi kwa wanaume kujitajirisha.Kufanya tendo la ndkoa kunatokana na afya ya mwili na mawazo.mwanaume ni mwanaume tu kama ataondoa mawazo ya kushindwa ndo maana wengine wengine hushindwa kufanya mpaka anywe kidogo;yote hayo ni mawazo
 
Nikiamka usiku kukojoa uume umesimama,nkiamka asubuh pia uume umesimama,nahata nkiwa na ashki namwanamke nikiwa nae uume umesima..changamoto nikufanya yaan ukiingiza ukeni au hata kabla ya kuingiza utalala ndani ya dk1
Wewe tatizo lako ni la kisaikolijia zaidi,hofu imekutawala kuna kitu kibaya kilikutokea katika harakati zako za kungonoka kikakupelekea kupata hiyo hofu au umepigwa kipapai.

Chamsingi jitahidi kama mwanaume ondoa hofu,hakikisha mwenza wako mnazoeana kabla ya kupandana yani muwe relaxed,pia mweleze uwazi kuhusu tatizo na akusaidie kutibu hofu.

Pia jitahidi ule vyakula asili,acha pombe sigara,pia fanya kazoezi
 
Njoo pm

Ni dawa ya hospital nitamuelekeza atumie dozi ni one month wala sihitaji pesa yake matako yako
Hoja ilikuwa hapo nilipo-bold ungeishia hapo ingetosha but kitendo cha kunitukana umeonyesha hukuwa na nia njema na mleta mada.

Kama ulikuwa huitaji hela yake kwanini usingemuelekeza hapa hapa kwenye hadhira ili wengine waijue mpaka umuite private?
 
Mkuu hapo wewe kazi ni ndogo sana kwangu .
Nimekumbana na watu wa hivo kadhaa na wote wamerejea kwenye Hali zao za kawaida . Naamini hata wewe utakuwa sawa 100%
Njoo PM tusaidizane kabla hujakata tamaa kabisa
 
Hoja ilikuwa hapo nilipo-bold ungeishia hapo ingetosha but kitendo cha kunitukana umeonyesha hukuwa na nia njema na mleta mada.

Kama ulikuwa huitaji hela yake kwanini usingemuelekeza hapa hapa kwenye hadhira ili wengine waijue mpaka umuite private?
Nimesha wasiliana nae na kumpa jina la dawa unaweza kumuuliza ili kuthibitisha ila unaoneka wewe jamaa ni mbishi sana matako yako
 
Hiyo hofu ndio ugonjwa wako na ndio uitaftie tiba
I
 
Nikiamka usiku kukojoa uume umesimama,nkiamka asubuh pia uume umesimama,nahata nkiwa na ashki namwanamke nikiwa nae uume umesima..changamoto nikufanya yaan ukiingiza ukeni au hata kabla ya kuingiza utalala ndani ya dk1
Jitibu kisaikologia. Tafuta mwanamke umuzoee
 
Nikiamka usiku kukojoa uume umesimama,nkiamka asubuh pia uume umesimama,nahata nkiwa na ashki namwanamke nikiwa nae uume umesima..changamoto nikufanya yaan ukiingiza ukeni au hata kabla ya kuingiza utalala ndani ya dk1
We ni mzima kwa 100% hofu tu
 
Shida yako ni Moja ishu ya psychology ndo Chanzo usiwaze kumridhisha mwanamke wakati wa kufanya tendo
 
Acha kutupotezea muda ukweli ni kwamba Saikolojia Kuu ya Uboo kuamka na kutomba kisawasawa ni kuwa na Fedha.
 
Pole sana mkuu, lakini hivi ni kweli haya matatizo yapo?
 
Mkuu umri alioingia mwenza wako wa miaka 30+,anahitaji mishindo ya nguvu sana kiasi kwamba hata bila changamoto unaweza usihimili hasa ukiwa 38 au 40+.

Ushauri ni kujijali wewe mwenyewe huwezi kushindana na ulikotoka.


Kuhusu dawa, watalaam watakushauri
 
Huo mpe GENTAMYCINE aufyonze nakuhakikishia utasimama mpaka ushangae,muwahi sasa genta yupo hapa kwa ajili ya shughuli kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…