Uume hausimami baada ya kutumia tadalafi mara 40 kwa miaka 3 wakati Tofauti Tofauti

Hujaeleza vizuri lakini ww utakua una tatizo moja linaitwa Tight pelvic floor. Ukiwa na hilo tatizo damu haiwezi pita vizuri kwenda kwenye uume, na kama ikipita ni kwa kidogo sana ambayo haiwezi kufanya uume usimame muda mrefu. Na tatizo hilo pia linafanya uweze kufika kileleni kwa haraka mno. Na hakuna dawa utatumia upone ila kuna mazoezi maalumu hayo ukianza kuyafanya ndani ya mwezi utapata matokeo makubwa tu. Ukiendelea kuyafanya baada miezi 3-6 tatizo lako linaisha kabisa..!

Na wala sio kwamba tatizo hilo linasababishwa na hofu, bali hilo tatizo ndio linakujengea hofu
 
mazoezi ya pelvic floor niyap hayo mkuu nielekeze
 
Pole sana MKUU but haya mambo yasikie tu kwa mwenzako usiombe yakukute, tena yakukute upo na vitoto vya 2000, unaweza jikuta unahama nchi
 
Mkuu pole kwanza hiyo dawa ya tadalafi sio nzuri kiafya inaharibu kabisa mishipa ya uume wako ina madhara makubwa hiyo dawa ya tadalafi Ukipenda kuitumia kila wakati. Nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona.

Are there any dangers in taking tadalafil?
Talk with your doctor before you drink alcohol. If you drink grapefruit juice or eat grapefruit often, talk with your doctor. Very bad and sometimes deadly side effects like a heartbeat that does not feel normal, heart attack, stroke, and very bad high blood pressure have happened with tadalafil.
 
Sasa si uwe mwenza wake ili umsaidie?
 
Miaka 38 bado sana unaonekana wewe ni mvivu wa mazoez wafanya sana mazoez kurudisha confidence na kukufanya uwe na endurance katika tendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…