Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
Nenda kariakoo pale sunderland ya kule sokon kuna duka la fimbo ya musa ulizia dawa ya kigshaft
 
Ni wao alafu sio kila mtu mwenye tatizo mnafikiria ushoga mm toka na balehe uume ulikuwa unapinda nikiwa nadindisha nikafikiria ni hali ya kawaida badae itapotea nikiwa mkubwa bado naona ipo vile vile
Tatizo kwenu huko Dar si kila umuonaye mwanamme ni mwanamme, wengi wenu ni vigarasa tu, nyumbani unaitwa baba ukienda nyumba ya pili unapakatwa na wenzako huku unaminywa pumbu.
 
Mkuu kuna maswali matatu Yapaswa ujibu,

Swali la kwanza:
Umewahi kupata ajali inayohusisha uume/including kuvunjika uume!??

Swali la pili:
Tatizo la kupinda uume umezaliwa nalo!??

Swali la tatu:
Unapata maumivu yoyote au kushindwa kushiriki vizuri ngono na mwenza wako!??

Zifuatazo ni sababu tatu muhimu zinazosababisha uume kupinda:
01.Ugonjwa (peyronie's disease)
02.Congenital penile curvature (Tatizo la kuzaliwa nalo)
03.Ajali.
Matatizo yote haya yanatibika hivyo tafuta ushauri kwa wataalam wa afya juu ya njia bora ya kutibu tatizo lako.

Kuna mdogo wangu alikua na iyo namba 2, ( Peyronie disease) tulienda hospital 2 na wanashinda kuelewa na tiba hakuna mara ya mwisho daktar alimuambia hakuna shida wewe ishi ivyo ivyo tu. Hakuna madhara yoyote.))
 
Ulipo kuwa na umri chini ya miaka 14 uume wako ulikuwa umenyoka kabisa uume unaanza kupinda kuanzia huo umri wa miaka 14 kwenda juu na sababu zake ni punyeto hasa ya kulala kifudi fudi ni ngumu mtu asiye piga punyeto uume wake upinde kulekea kushoto au kulia ...wale watu wanao andikia kushoto wakati wa kupiga punyeto nguvu ya mkono wa kushoto ufanya misuli ya kushoto ya uume kuwa inavutika zaidi ya ...ya kulia hivyo uume unapo jaa damu kushoto kuna refuka kuliko kulia na kusababisha uume kuelekea kulia...na wanaume wanao andikia mkono wa kulia ni hivyo hivyo .. wanapo piga punyeto kwa mkono wa kulia misuli ya uume ya upande wa kulia inakuwa inavutika kuliko kushoto hivyo damu inapo jaa kwenye uume kulia kuna refuka zaidi ya kushoto na kusababisha uume kupinda kuelekea kushoto ..
Njia ya kuufanya unyoke ni kuufanyisha mazoezi ya kuupinda kuelekea unyoofu wakati uume unapokuwa umeufanya udinde ndani ya miezi 3 tu utakuwa uume umenyooka kwa asilimia 60...ukiendelea ndani ya miezi 8 utakuwa umenyoka kabisa na ukiendelea zaidi unaweza kupinda kuelekea upande wa pili kinyume na ule wa kwanza ...fanya hayo mazoezi mara kwa mara kwa siku ..tena uume ukifanikiwa kunyoka urefu wake utaongezeka kama nusu inch au inch moja hivi.
Naufanyisha mazoezi wakati uume umedinda au wakati umenyong'onyea pia ukiachana na hio hakuna dawa inaweza kusaidia uunyooke
 
Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
Hayo ndiyo madhara ya kupiga punyeto kwa muda mrefu, pole sana...au kama vipi ikate ti kwani lazima kuwa na uume?
 
Back
Top Bottom