Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
Kama ukisimamisha una kata kona kuelekea chini, yaani chini kabisa basi hilo ni tatizo kubwa sana kushinda la Pdidy
(utani tu🤣)
 
Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
Swali la kizushi, unashiriki mapenzi ya jinsia moja wewe ukiwa demu?
 
Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
Dogo, una tabia ya kushikishwa ukuta na wenzio ama?
 
Unasoma maoni karibia 98% ya maoni ni ya matahira na mapumbavu. Ni watu hawazid watano wametoa ushaur wa kitaalam.
Mleta mada jifunze masuala ya kiafya nenda hospital moja kwa moja.
Kweli kabisa mkuu mfano wamatahira hawa hapa mbongo_halisi, Mkereketwa_ Huyu
 
Back
Top Bottom