Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Penile curvature is common and typically does not affect functionality
Sasa endelea kuogopa ogopa hivo hivo
Sasa endelea kuogopa ogopa hivo hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masai wanafimbo zimenyooka sbb ya kutovaa vyupi!mtoto wa kiume asivyeshwe chupi mpk afike umri wa baleheAcha kuvaa chupi na boxers,acha uume uwe huru,enzi zangu nilivaa chupi/ boxer pale nilipokuwa na ahadi ya kukutana na demu tu
Naogopa kakaWe huogopi
Kama umezaliwa nayo ni Congenital Penile curvature, ila kama kuna repetitive injury itakuwa ni Peyronie's disease.Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
Kwahiyo wao zimenyooka zoteStori kama hizi huwezi kuzikuta Israel, irani wala North Korea.
Sasa nitaogopa kitu sijawahi kuona?We uwogopi
Haya bhanaSasa nitaogopa kitu sijawahi kuona?
Kwa hiyo kama nimezaliwa nayo ni hakuna shida au nn mkuuKama umezaliwa nayo ni Congenital Penile curvature, ila kama kuna repetitive injury itakuwa ni Peyronie's disease.
Haitaleta madhara?Ifunge jiwe la mzani upande tofauti na inakopindia.
PmPicha
Hapana ila ni vile unakuwa mzito kusimama kwenda juu kwa muda mrefuKuna namna unashindwa kufanya chochote?
Asante nitafanya hivyoMkuu pole sana kwa changamoto yako
ushauri wangu ni kwamba nenda kituo chochote kikubwa cha afya kilicho karibu nawe
Ukishafika nuombe daktari akufungu P.O.P wakati uume umesimama baada ya wiki ukitoa kila kitu safi
Hujazaliwa ivyoo ila ni chupi walizokuwa wanakuvalisha wazazi wako kipindi ni mdogo ndo zimesababishaNaweza kufanya
Sasa mkuu itakuwaj si Itabid avae msuli tu 😀😀Mkuu pole sana kwa changamoto yako
ushauri wangu ni kwamba nenda kituo chochote kikubwa cha afya kilicho karibu nawe
Ukishafika nuombe daktari akufungu P.O.P wakati uume umesimama baada ya wiki ukitoa kila kitu safi
Picha tuoneUume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida