Uume wangu huwa haulali baada ya tendo la ndoa msaada plz

Uume wangu huwa haulali baada ya tendo la ndoa msaada plz

chief_mtemi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
529
Reaction score
121
jaman huwa naunganisha paka gor 3 bila kupumzika,ila hata hapo jogoo wangu huwa halali hata kwa nusu saa.Je ni tatizo?
 
Siyo tatizo, we piga kazi, Ukimwi ndo utakuumbua maana hujaeleza kama umeshaoa au bado. Tembeza hilo fagio lako la chuma baba.
 
Hili nalo ni tangazo japo halijalipiwa,weka barafu mkuu ....ok anyway sio mtaalamu sana ngoja wenyewe wanakuja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
poa kwaiyo hata yale maji ya barid sana yatafaa.KISHINDO sio kwamba nachapachapa NO.ni hali niliyonayo kwa muda sasa
 
Ikate umpe mbwa maana hailali ipo macho muda wote ya nini sasa??
 
Paka mafuta ya taa

"To know the enemy is half the victory"
 
huyo unaempiga goli 3 ni mkeo au mtoto wa mtu ambae hata kwa hawakufahamu? hebu niambie na umri wako...! ukijibu nitakusaidia!
 
Duuu....! Unadhani kina dada wa humu JF utawapata kirahisi hivo eti"uume haulali mpaka goli 3". Ningekushauri uwende facebook coz ndo pahala pake
 
Uwe unachukua wanawake wa 3 hapo usipo lala uje uombe ushauri tena.
 
Mtafute Jenu...huwa anajua namna ya kuyanyonyoa majogoo yanayowika kama hilo lako
 
Last edited by a moderator:
Nenda hospitali mishipa inaweza kupasuka ukapata matatizo makubwa zaidi ya hayo.
 
I wish ungalijua hatari uliyo nayo au inayokukabili. Endelea na mzaha
 
mods kuweni keen na hizi classfied....watu wanajitangazia biashara zao.wekeni charges bhana.lol
 
Back
Top Bottom