Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Mo boshen

Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
16
Reaction score
43
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.

Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.

Nini cha kufanya niendelee na dozi au?

MSAADA WAKUU
 
Nenda hospital na Hilo lishangazi lako, hakuna dawa hapa
 
Una ugonjwa mkubwa wa zinaa,

Ikiwa umetumia AZUMA then baada ya siku 5 bado unatoa usaa basi hiyo sio Kaswende, Chlamydia wala Kisonono ni kubwa kuliko hayo

Husikii hata kahoma homa na mafua yasiyoisha?
 
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.

Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.

Nini cha kufanya niendelee na dozi au?

MSAADA WAKUU
inaweza Ikawa chlamydia au gonorrhea nenda Hospitali kwa Vipimo zaiid
 
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.

Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.

Nini cha kufanya niendelee na dozi au?

MSAADA WAKUU
Kwanza pole sana kwa yaliyokuluta, hiyo ni ajali kazini. Kuwa makini sana na baadhi ya mashangazi, wengine sio!. Umekumbwa na tatizo la gono sugu inayosababishwa na bacteria aitwae Naiseria ambaye ni sugu kwa antibiotics za kawaida, na kwa huyo shangazi, wala yeye hajijui kuwa anae, yeye ni carrier tuu!.

Tiba yake, ni sindano au kidonge cha antibiotics ya ceftriaxone.

Usirudie tena kuparamia mashangazi peku peku, maana hatari kubwa sio gono, bali ni una riski kukutana na ngoma!.

Mimi kama kaka mkubwa nakushauri, usiparamie paramie madude, tafuta mahali tulivu ujitulize, na ukikutana na mazingira ya uvumilivu umekushinda, vaa zana ndipo uingie uwanjani kwenye mechi, hivi mechi za mchangani, unapiga kavu kavu sio dili!.
Acha kabisa!.
P
P
 
Back
Top Bottom