Nenda hospital na Hilo lishangazi lako, hakuna dawa hapaWakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.
Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.
Nini cha kufanya niendelee na dozi au?
MSAADA WAKUU
inaweza Ikawa chlamydia au gonorrhea nenda Hospitali kwa Vipimo zaiidWakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.
Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.
Nini cha kufanya niendelee na dozi au?
MSAADA WAKUU
Sasa anakuja huku tumshauri nini hospital zipo kibao na wanatibu mangonjwa ya zinaamachiaveli una roho mbaya Sana we jamaa😂
Kwanza pole sana kwa yaliyokuluta, hiyo ni ajali kazini. Kuwa makini sana na baadhi ya mashangazi, wengine sio!. Umekumbwa na tatizo la gono sugu inayosababishwa na bacteria aitwae Naiseria ambaye ni sugu kwa antibiotics za kawaida, na kwa huyo shangazi, wala yeye hajijui kuwa anae, yeye ni carrier tuu!.Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.