Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya Utumishi wake kukoma kutokana na Mkeka mpya uliotolewa wa Wakuu wapya wa Wilaya, Mh Kasesera amewashukuru wananchi wa Iringa kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote alichowatumikia, ambapo pia ametumia nafasi hiyo kuwaomba radhi wale wote aliowakwaza wakati wa utekelezaji wa Majukumu yake.
Chanzo: Mwananchi
Chanzo: Mwananchi