white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Una ushahidi gani kuwa ile kauli yake, ndii chanzo cha kutenguliwa kwake, hadi unafikia hitimisho hilo?!!hivi vyeo vya uteuzi ni vigumu sana, kuvilinda kwani itategemea na aliyekuteua alivyoamka siku hiyo, mbona kuna DC, mmoja huko mkoa wa simiyu ni balaa kwa matusi, na matendo ya hovyo kama kiongozi , lakini mbona ameteuliwa tena?!!na kuomba msamaha sio kwamba ni kwa lile tusi tu, hata kama asingetukana, yeye kama kiongozi lazima kuna mambo aliyafanya ktk kutekeleza majukumu yake ambayo kwa vyovyote vile yaliwaudhi wengine.Hata leo hii labda mama Samia ajiudhuru ki ungwana lazima atawaomba radhi watu kwani kuna watu tu kwenye uongozi wake, wataona kuwa aliwaudhi!!!ni kauli za kawaida tu mbona!!Mimi hata huwa sielewi kwanini watu huwa tunafurahia matatizo ya wengine?!!Alikuwa wapi kuomba msamaha,mpk atumbuliwe?