Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mbona baada ya ile kauli yake maarufu aliomba radhiAlikuwa wapi kuomba msamaha,mpk atumbuliwe?
Hana njaa kabla ya JK kumteua alikua ana export dhahabu ya Tanzania kwenda Australia na Dubai unapaswa ujisikitikie wewe na sio huyo jamaa, ni muungwana hasa ndio maana unaona ni mtu wa kushukuru hana kinyongo na mtu.Mkuu Kasesera karibu sana uraiani, rudi nyumbani Rungwe tulime maparachichi, hakuna atakae kusumbua wala hautakuwa na presha sijui ya niseme nini au nimemuudhi mkuu, kwa sasa kilimo kinalipa na hata usiombe tena ajira kule ulikotoka TMARC, sasa umekuwa ni senior citizen mkuu, karibu sana Rungwe tuchangamkie fursa ya kilimo cha maparachichi.
Hawezi kukaa hapo kwenu KK huyu ni mtoto wa mjini hawezi kutuliza Yale mavitu aliyomwambia yule bodaboda ayatulizeMkuu Kasesera karibu sana uraiani, rudi nyumbani Rungwe tulime maparachichi, hakuna atakae kusumbua wala hautakuwa na presha sijui ya niseme nini au nimemuudhi mkuu, kwa sasa kilimo kinalipa na hata usiombe tena ajira kule ulikotoka TMARC, sasa umekuwa ni senior citizen mkuu, karibu sana Rungwe tuchangamkie fursa ya kilimo cha maparachichi.
Umeambiwa jamaa u DC haikuwa ishu kihiiivyo ila heshima. Yuko vizuri kwa hiyo aliyemwambia atulize masaburi ndio ametulia. Kwa taarifa yako Rich ni jamaa poa sanaKati ya aliyemwambie akalishe makalio chini na yeye,nani kakalisha?
Unaongea nini?ajiajiri huyo wakati ye ndo mwajiri miaka na miakaAsikuambie mtu kazi za kuteuliwa hakuna mtu anayekaataa,acha kumtetea kufanya kazi za kujiajiri kwa mtu kama yeye itamchukua muda sana kuendana na mazingira ya jamii,ukiwa dc vitu vingi unakuwa unaenjoi sana
babu ee huyu jamaa alikuaga marekani huko kwa miaka mingi hana njaa njaa anajiweza Sana tu pia ni mfanyabiashara na ana connection mambele hukoAsikuambie mtu kazi za kuteuliwa hakuna mtu anayekaataa,acha kumtetea kufanya kazi za kujiajiri kwa mtu kama yeye itamchukua muda sana kuendana na mazingira ya jamii,ukiwa dc vitu vingi unakuwa unaenjoi sana
Angeenda kuendesha bajaji na wale jamaa zake....Mkuu Kasesela, njoo kwenye madini. Sasa kumenoga.