Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Itazame video hapa chini mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesera akiomba radhi baada ya kutumia lugha isiyo ya kistaarabu kwa waendesha bajaji .
 
Itazame video hapa chini mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesera akiomba radhi baada ya kutumia lugha isiyo ya kistaarabu kwa waendesha bajaji .

..https://www.instagram.com/p/COGEF5rjZZV/?igshid=4uw8xwvp25yk
Mods futa huu uzi wa mla panya asiye na akili. Uzi umeshawekwa humu na Erythrocyte
 
Asamehewe tu ameomba radhi
Kiukweli wale watu wanakera sana
Usifanye mchezo na bodaboda ni pasua kichwa
 
Hamna kiongozi hapo kwa hiyo alitukana huku akiwa amefunga yupo kwenye mfungo...kazi ipo aisee
 
Back
Top Bottom