Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Huyo alitakiwa awe ameshatumbuliwa mpaka sasa hivi sijui Rais anasubiri nini, haya mambo ndio yanafanya Rais aonekane haiwezi ile ofisi, too slow to react.
Yes, wala hakupaswa kuwa na muda wa kuomba radhi[emoji23]
 
Angejiuzulu ingekuwa vizuri, hii nchi mbona viongozi hawawezi kabisa kuwajibika? Yaani angejiuzulu tu,saizi ataondolewa
Akijiuzulu atakosa mafao na atatakiwa arudishe one month salary ngoja atapangiwa kazi nyingine
 
Kutukana matusi hadharani ni kosa la jinai! Ni kosa la kudhalilisha na kutweza utu! Ana kesi ya kujibu huyu! Sasa ikiwa atasamehewa basi itakuwa ni kutoshtakiwa lakini sio kubaki kwenye ofisi ya umma! Ni ajabu kwamba mpaka sasa yupo ofisini! Ni aibu kwa uongozi wa nchi!
 
Yes ww ni mzalendo uchwara. Mbona hujaanzisha mada kuhusu cdm jioni hii ili ikuongezee imprest ya kwenda kuhongea machangudoa huko Mbeya?
Ahaaa, sina mbavu hapa, ngoja nilale tu
 
Back
Top Bottom