Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Huyo alitakiwa awe ameshatumbuliwa mpaka sasa hivi sijui Rais anasubiri nini, haya mambo ndio yanafanya Rais aonekane haiwezi ile ofisi, too slow to react.
Nakubaliana na wewe.
 
kuomba radhi hakutoshi kufuta ile mitusi hadharani...aende mbele zaidi kuachia wadhifa huo wa ukuu wa wilaya ili KAZI IENDELEE [emoji123][emoji1241][emoji106]
Jamaa anajifanyaga ni mtemi sana na kusahu kuwa nafasi aliyo nayo kikazi ni kubwa kuliko yeye
 
Yaan katukana tusi moja zaidi ya mara tatu tena akamuita kiubabe asogee mbele na yule askari anakazia walitaka kumfanyaje?
Huyo sio kiongozi aachie madaraka haraka sana hapo hadharani kafanya hayo je akiwa sirini hufanya mangapi?
 
Asamehewe tu ameomba radhi
Kiukweli wale watu wanakera sana
Usifanye mchezo na bodaboda ni pasua kichwa
Na wewe utulize yale aliyoyasema yeye...

Kwani bodaboda wapo kwake tu!? Mbona hatusokii toka kwa wakuu wengine!?
 
Kwa wanaoelewa maswala ya uwajibikaji, sasa hivi angekuwa anaomba radhi na anajiuzuru.
 
Anajua Rais ni mwanamke hawezi kumfanya lolote, si mtaona.
 
Back
Top Bottom