Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

Wasenge Unafki, akitolewa we inakuhusu nini malaya we, utapewa wewe huo uongozi.
Mijitu michawichawi km nyinyi ni kupiga risasi ya utosi tu hamfai hata kupumua mnatuibia hewa tu humu duniani pumbavu.
babu asubuhi yote hii matusi,ni dalili mbaya ya kunyimwa unyumba na mkeo.kalisha matako wewe
 
Huyu jamaa ni mlevi na mvuta bhagi, anatoka mtaa wa Usno, Mikocheni pale DSM karibu na makazi ya Rais JK alipokuwa waziri. JK nadhani alimpa Kasesela hii kazi kwasababu ya ujirani mwema tu baada ya kuwa Rais. Tunamfahamu wote kuwa hana maadili.
 
Viongozi wetu hawana hofu tena na wananchi wao maana hawana namna ya kuwaondoa. Katiba yetu iandikwe upya.
 
Kiukweli binafsi sioni kabisa kama ni big deal..
Naona kama kuna kampeni ya kulikuza
 
Ila ni kazi ngumu kuhutubia kundi la wanyonge "madereva wa bajaji" wakiwa katika hali ya mihemuko, hasa pale wanapohisi wanaonewa wakati unajaribu kuwafafanulia kuhusu kufuata utaratibu mzuri uliowekwa.

Utetezi dhaifu, hilo tukanaji lina tabia za kihuni toka zamani. Uchaguzi mkuu wa 2010 aliwahi kumpiga mtama polisi, hivyo huyo ni muhalifu toka zamani.
 
Mi naona sawa tu,kiongozi anahitaji kutoa maelezo unamzongazonga tu kabla hata hajamaliza maelezo, yes tuliza MATAKO ×4
 
Kiukweli binafsi sioni kabisa kama ni big deal..
Naona kama kuna kampeni ya kulikuza
Kivipi, kama sio tatizo kubwa kwanini DC anaomba msamaha. Lingekuwa sio big deal kama lingefanywa na machinga mtaa waliodhulumiana.
 
Utetezi dhaifu, hilo tukanaji lina tabia za kihuni toka zamani. Uchaguzi mkuu wa 2010 aliwahi kumpiga mtama polisi, hivyo huyo ni muhalifu toka zamani.
Mkuu Tindo, naheshimu mno maoni yako, isipokuwa kuna mazingira ambayo hujitokeza ambapo kunatokea uropokaji wa maneno yenye kuudhi ambayo humfanya mtu naye ajibu mapigo kwa lugha ya hovyo vilevile. Najaribu kuliangalia tukio hili kama "mutually exclusive case" kwa hiyo siwezi kumtetea Bibo ikiwa hiyo ndiyo kawaida yake kufanya hivyo.
 
Haiihitaji Akili nyingi sana ukirejea Kuangalia ile Video ya Mtukanaji wa Iringa kujua kuwa Jamaa ( Mtukanaji ) yupo Frustrated mno na kwamba kuna Taarifa alishadokezwa ndiyo maana nae kaona amalize hasira zake za mwisho mwisho kwa Raia wa Iringa...
Hutaamini

Yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom