Uungwana ni vitendo: Je, CHADEMA watarudisha Tsh. 38 milioni zilizotolewa na hayati Magufuli kumtoa Msigwa jela?

Acha majungu. Msigwa alikataa kutolewa kwa fedha iliyotolewa na aliyemweka ndani. Mwulizeni Polepole, alizipeleka wapi baada ya Msigwa kukataa.
 
Kwani walizitoa mifukoni mwao?
Lakini zitarudishwa kwenye account zao! Mawazo ni mazuri sana, lakini pesa ni nzruri kabla haijapatikana tu! Kumbuka yale machozi mazito ya Lijuhalikali, ya kulilia Laki 5 yake, aliyo saini kukichangia chama!
 
Lakini zitarudishwa kwenye account zao! Mawazo ni mazuri sana, lakini pesa ni nzruri kabla haijapatikana tu! Kumbuka yale machozi mazito ya Lijuhalikali, ya kulilia Laki 5 yake, aliyo saini kukichangia chama!
Huyo Lijualikali ajue kuna watu walikuwa wanakatwa hizo laki tano na ndiyo ziliwezesha yeye kuupata Ubunge.
 
Kwanza tujue hizo pesa zilitoka wapi serikalini ama familiya. Pili jamaa alikuwa si mkweli na mambo yake alifanya kwa kutamka hata uongo ukaonekana ukweli. Tutaaminije ? Kama kweli alilipa hizo pesa. Mf alituaminisha shirika la ndege linapata faida hadi wanatoa gawio. Jiulize ilo gawio walilitoa kutoka wapi wakati juzi tu CAG katuambia shirika lilikuwa likipata hasara.. LABDA WAONGEZEE UREFU WA SHIMO LA KABURI ILI HAKI NA UHURU UZIDI KITAMARAKI
 
Ulikuwa wapi we johnthebaptist !!??
Nimefurahi kukuona jukwaani.
Hizo fedha zitarudishwa serikalini.
 
CHADEMA haijawahi kupigwa faini/kuhukumiwa ni Watu individual hivyo na faini ililipwa Kwa jina la mtu aliyehukumiwa.

Mchungaji Msigwa ni mwanafamilia ya mwendazake ,Mchungaji na Familia yake watazitumia
 
Kwa nini unataka zirudi alizotoa mwendazake tu? Kwa nini zilizotolewa na wananchi zisirudishwe?
 
Kwa kanuni za kifedha, malipo yanarudishwa kuegemea taarifa za "Receipt" ya mlipwaji. Kama jina lako halipo kwenye receipt imekula kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…