Uuuuwiii! Kumbe kuna maandalizi ya 'Maridhiano Day'?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Hiki ni kituko kingine cha ccm mwaka 2026
Mbona terms za maridhiano zilishawekwa wazi na Gen Z
Hawa watu sijui watuonaje huko
Na viwango vimeshawekwa..
Hii ni aina nyingine ya upigaji
Kibaha kuna viwanda visivyopungua 200 vingi vikiwa ni vya wachina.. Karibia wote wamepelekewa hii barua... Lakini wengi hawana muda wa kutuma bank wanatoa cash! Hizo cash zitaishia mifukoni mwa watu
Tunatia aibu kwakuwa ombaomba tuliopiliza.. Barua za michango ni nyingi sana viwandani
IMG-20260226-WA0012.jpg
 
Hiki ni kituko kingine cha ccm mwaka 2026
Mbona terms za maridhiano zilishawekwa wazi na Gen Z
Hawa watu sijui watuonaje huko
Na viwango vimeshawekwa..
Hii ni aina nyingine ya upigaji
Kibaha kuna viwanda visivyopungua 200 vingi vikiwa ni vya wachina.. Karibia wote wamepelekewa hii barua... Lakini wengi hawana muda wa kutuma bank wanatoa cash! Hizo cash zitaishia mifukoni mwa watu
Tunatia aibu kwakuwa ombaomba tuliopiliza.. Barua za michango ni nyingi sana viwandaniView attachment 3548958
nadhani hilo ni jambo la maana na muhimu sana kwa walio na hiyari ya kufanya hivyo,
hakuna haja ya kuwaonea wivu wala kuchafukwa moyo gentleman.

kusameheana na kuridhiana ni miongoni mwa mambo ya maana sana na muhimu kufanyika ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na kwaresma, lakini pia hata baada ya mfungo, kama waTanzania ni muhimu kuridhiana hasa pale ambapo awali tulitofautiana mawazo au maoni na yakajenga chuki au uhasama baina ya wahusika.

Hao jamaa wamebuni na kupanga kitu cha baraka na neema sana kwa waja wa Mwenyezi Mungu.
Mungu atawabariki sana.
 
nadhani hilo ni jambo la maana na muhimu sana kwa walio na hiyari ya kufanya hivyo,
hakuna haja ya kuwaonea wivu wala kuchafukwa moyo gentleman.

kusameheana na kuridhiana ni miongoni mwa mambo ya maana sana na muhimu kufanyika ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na kwaresma, lakini pia hata baada ya mfungo, kama waTanzania ni muhimu kuridhiana hasa pale ambapo awali tulitofautiana mawazo au maoni na yakajenga chuki au uhasama baina ya wahusika.
Mfa maji haachi kutapatapa
 
Mfya maji haachi kutapatapa
hakuna haja ya mayowe kwenye mambo ya maana kama hayo gentleman.
maridhiano yatafanyika kwa hiyari za wananachi licha ya chuki za wachache miongoni mwa wengi.

hata hivyo,
ni wazi kwenye kundi la mamba, kenge hawakosekani.
 
sioni tatizo kwa mtu akijitoa kulipambania taifa(maridhiano) kisha chama kikampa mlo wa mchana tena ikiwa ni michango ya wadau wenye nia njema kwa taifa.....ndugu
 
hakuna haja ya mayowe kwenye mambo ya maana kama hayo gentleman.
maridhiano yatafanyika kwa hiyari za wananachi licha ya chuki za wachache miongoni mwa wengi.

hata hivyo,
ni wazi kwenye kundi la mamba, kenge hawakosekani.
Wangekuwa wachache ndio wenye hasiri kusingekuwa na maridhiano. Hayo maridhiano ya kupotezeana muda hayana maana. Tunataka katiba mpya, sio ombi, ni lazima.
 
Back
Top Bottom