Uuuuwiii! Kumbe kuna maandalizi ya 'Maridhiano Day'?

Uuuuwiii! Kumbe kuna maandalizi ya 'Maridhiano Day'?

mkuu kalamu,

kila la kheri kwenye mapambano --- wote tupo kwenye mapambano


mi sio mtu wa maana yeyote mkuu, ila ntaanza kukukwepa kwa sasa mkuu --- tukutane 2030 panapo majaliwa
Bado unazo ndoto za 2030. Wewe utakuwa ni mmoja wa vilaza wakuu chini ya mwovu Samia Suluhu Hassan..

Na kama ulikuwa hujui hadi sasa ninakosimamia, baada ya kukueleza yote niliyokwisha kueleza, wewe utakuwa huna tofauti yoyote kiakili na huyo Samia Suluhu Hassan, anayedhani anaweza kuwaweka mateka waTanzania kwa kutegemea mitutu ya bunduki hadi 2030.

Usitegemee hata siku moja kuwepo na "majaaliwa" tokana na uovu..
Matokeo ya uovu siku zote ni maangamizi.. Hatma ya Samia na genge lake lote ni maangamizi.
 
mkuu kalamu,

kila la kheri kwenye mapambano --- wote tupo kwenye mapambano


mi sio mtu wa maana yeyote mkuu, ila ntaanza kukukwepa kwa sasa mkuu --- tukutane 2030 panapo majaliwa
Unategemea mitutu ya bunduki itamfikisha Samia Suluhu Hassan huko 2030?
Maana hana njia nyingine yoyote ya kuota hiyo 2030.
Kumbuka hiyo mitutu ni ya waTanzania, siyo ya kwake.
 
Back
Top Bottom