Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Chizi karogwa tenanadhani hilo ni jambo la maana na muhimu sana kwa walio na hiyari ya kufanya hivyo,
hakuna haja ya kuwaonea wivu wala kuchafukwa moyo gentleman.
kusameheana na kuridhiana ni miongoni mwa mambo ya maana sana na muhimu kufanyika ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na kwaresma, lakini pia hata baada ya mfungo, kama waTanzania ni muhimu kuridhiana hasa pale ambapo awali tulitofautiana mawazo au maoni na yakajenga chuki au uhasama baina ya wahusika.
Hao jamaa wamebuni na kupanga kitu cha baraka na neema sana kwa waja wa Mwenyezi Mungu.
Mungu atawabariki sana.
