nadhani hilo ni jambo la maana na muhimu sana kwa walio na hiyari ya kufanya hivyo,Hiki ni kituko kingine cha ccm mwaka 2026
Mbona terms za maridhiano zilishawekwa wazi na Gen Z
Hawa watu sijui watuonaje huko
Na viwango vimeshawekwa..
Hii ni aina nyingine ya upigaji
Kibaha kuna viwanda visivyopungua 200 vingi vikiwa ni vya wachina.. Karibia wote wamepelekewa hii barua... Lakini wengi hawana muda wa kutuma bank wanatoa cash! Hizo cash zitaishia mifukoni mwa watu
Tunatia aibu kwakuwa ombaomba tuliopiliza.. Barua za michango ni nyingi sana viwandaniView attachment 3548958
Sisiemu wanaigeuza hii nchi wanavyotaka kama wanachoma chapati.Kule sisiemuni kila tukio ni fursa ya upigaji wala sio ajabu kabisa
Mfa maji haachi kutapatapanadhani hilo ni jambo la maana na muhimu sana kwa walio na hiyari ya kufanya hivyo,
hakuna haja ya kuwaonea wivu wala kuchafukwa moyo gentleman.
kusameheana na kuridhiana ni miongoni mwa mambo ya maana sana na muhimu kufanyika ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na kwaresma, lakini pia hata baada ya mfungo, kama waTanzania ni muhimu kuridhiana hasa pale ambapo awali tulitofautiana mawazo au maoni na yakajenga chuki au uhasama baina ya wahusika.
hakuna haja ya mayowe kwenye mambo ya maana kama hayo gentleman.Mfya maji haachi kutapatapa
We utaandamania wapi mkuu, nataka kufahamu lengo lako la kuandamana ni lipi hasaHiyo maziriano day ndo siku nzuri ya kufanya maandamano.
Kwahiyo nyie ni kenge au ni mijusi?hakuna haja ya mayowe kwenye mambo ya maana kama hayo gentleman.
maridhiano yatafanyika kwa hiyari za wananachi licha ya chuki za wachache miongoni mwa wengi.
hata hivyo,
ni wazi kwenye kundi la mamba, kenge hawakosekani.
wenye mihemko daima ya kupinga maridhiano hua ni mamaluki wenye hulka za kinyumbu gentlemanKwahiyo nyie ni kenge au ni mijusi?
Wangekuwa wachache ndio wenye hasiri kusingekuwa na maridhiano. Hayo maridhiano ya kupotezeana muda hayana maana. Tunataka katiba mpya, sio ombi, ni lazima.hakuna haja ya mayowe kwenye mambo ya maana kama hayo gentleman.
maridhiano yatafanyika kwa hiyari za wananachi licha ya chuki za wachache miongoni mwa wengi.
hata hivyo,
ni wazi kwenye kundi la mamba, kenge hawakosekani.
Chizi karogwa tenahakuna haja ya mayowe kwenye mambo ya maana kama hayo gentleman.
maridhiano yatafanyika kwa hiyari za wananachi licha ya chuki za wachache miongoni mwa wengi.
hata hivyo,
ni wazi kwenye kundi la mamba, kenge hawakosekani.