Uuuuwiii! Kumbe kuna maandalizi ya 'Maridhiano Day'?

Chizi karogwa tena
 
Wangekuwa wachache ndio wenye hasiri kusingekuwa na maridhiano. Hayo maridhiano ya kupotezeana muda hayana maana. Tunataka katiba mpya, sio ombi, ni lazima.
maridhiano ni hiyari ya wanaoridhiana,
wenye mihemko wana hiyari ya kubaki nayo kama manyumbu kwa uhuru na haki gentleman,

hasira za nini?
hakuna haja ya katiba mpya kwa sasa Tanzania
 
Sasa kwenye huo msafara wa mamba kenge ndio nyie. Mnapenda sana kujitoa ufahamu nyie
kenge daima hua na tabia za kinyumbu za mihemko nonsense,
yeye huwaza tofauti kabisa na mambo mazuri ya wengine,

na daima hukerwa na kuumia moyo wakati wengine wakifanya mambo yao ya maana kwa manufaa yao
 
tuliza mihemko na kuweweseka ikiwa uko pointless gentleman,

huna haja ya kubughudhi wadau wa heshima wa JF kwa nonsense useless hivyo gentleman.
 
Pale fisi anapojifanya kondoo
 
hakuna haja ya mayowe kwenye mambo ya maana kama hayo gentleman.
maridhiano yatafanyika kwa hiyari za wananachi licha ya chuki za wachache miongoni mwa wengi.

hata hivyo,
ni wazi kwenye kundi la mamba, kenge hawakosekani.
 
MIILI YA WALIO UWAWA ILETEWE SIKU HIYO NA FAMILIA ZAO WAPATE FURSA YA KUWAAGA.

BAADA YA HAPO MARIDHIANO YAANZE KWA KUJIBU MASWALI KWANINI WALIO UA WAPO MTAANI WANAKULA POSHO
 
inawezekana, ila nataka kujua jamaa ataandamania wapi na kwa sababu zipi
Ukijuwa halafu iweje?
Unao mchango wowote wa maana katika maswala hayo au ni kutafuta tu kujionyesha kwa unaowafanyia kazi kuwa umechangia kwenye mijadala hata kama haina maana yoyote kwa mstakabali wa taifa hili?
 
Reactions: Lax
Ukijuwa halafu iweje?
Unao mchango wowote wa maana katika maswala hayo au ni kutafuta tu kujionyesha kwa unaowafanyia kazi kuwa umechangia kwenye mijadala hata kama haina maana yoyote kwa mstakabali wa taifa hili?
mkuu kalamu,

kila la kheri kwenye mapambano --- wote tupo kwenye mapambano


mi sio mtu wa maana yeyote mkuu, ila ntaanza kukukwepa kwa sasa mkuu --- tukutane 2030 panapo majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…