Bado unazo ndoto za 2030. Wewe utakuwa ni mmoja wa vilaza wakuu chini ya mwovu Samia Suluhu Hassan..mkuu kalamu,
kila la kheri kwenye mapambano --- wote tupo kwenye mapambano
mi sio mtu wa maana yeyote mkuu, ila ntaanza kukukwepa kwa sasa mkuu --- tukutane 2030 panapo majaliwa
Unategemea mitutu ya bunduki itamfikisha Samia Suluhu Hassan huko 2030?mkuu kalamu,