UV naniriyu wagoma kuwa upande wa Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo

Wote tu wala rushwa wakubwa wanatoleana siri za chumbani kwao! Ndio maana kale kakijana kamesema wakakae chumbani wamalizane! Ukoo mzima ni rushwa wanaiishi tangu chipukizini hadi wanakuwa wazee uteuzini, ukiona msisiemu anang’aka ujue tu ulaji na upigaji umetishiwa

Na wapo tayari kuua muda wowote
 
'Udedi, udc na udas!'
Dah!
 
Halafu shemeji analia rushwa, wakati yeye ndo mla rushwa.
TAKUKURU wako usingizi wa pono

Hamna asiyekula rushwa sisiemuni, na wote wanaanzia kujifunzia uvisisiemuni, mchngerwa mwenyewe alianzia hukohuko uvisisiemuni akaqualify na kupanda juu na ujuzi wa kula sana! Wanajifanya wanaumbuana sasa hivi wakati wote makambale tu na mandevu ya rushwa ukoo mzima
 
Mtangazaji wa Planet Bongo - Dulla haha 😆 lakin na hisi kama wasema huyo ni wa zamani
UV naniriyuu - UV CCM
Shemeji - Mchengerwa
Kuoza - Rushwa
Biashara naijua hiyo na wamekomaa kabisa sasa watunishiane misuli
Abduli
mchengelwa
Uvcccm
 
 
Shem hatosheki kabisaa, acha waparuane wao kwa wao. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…