JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Shirika la Afya Duniani (WHO) linashauri kuwa matumizi ya barakoa kwa watoto wa umri wowote walio na shida ya ukuaji wa akili au mwili, upumuaji na matatizo mengine maalum ya kiafya hayapaswi kuwa ya lazima na kwamba tahmini ya hali ya mtoto ni muhimu kuelezwa na mzazi, mlezi au mtoa huduma wa afya.
Pia, inapendekezwa kuwa usimamizi wa kutosha wa watu wazima na maelekezo kwa mtoto ni muhimu kuzingatiwa ili kuhakikisha usalama wake dhidi ya COVID-19
=====
The use of masks for children of any age with developmental disorders, disabilities or other specific health conditions should not be mandatory and be assessed on a case by case basis by the child’s parent, guardian, educator and/or medical provider.
Source: WHO