red bandama
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 483
- 574
Jana tulikuwa tunamzika brother Kizzo. Huyu jamaa alikuwa mtu wa watu kweli kweli. Katika umri wake aliyeishi duniani amegusa watu wengi waliokuwepo msibani watanielewa. Kila aliyesimama alisema Kizzo was a friend hata kina Millya, Lema, Nassary waliposimana walisema tumpoteza rafiki!
Kiukweli huyu jamaa alikuwa mtu poa sana kuanzia hometown Arusha hadi Dar.
Kero kubwa iliyojitokeza msibani ni wanawake waliotokea Dar es Salaam walivaa kiaibu sana. Waligeuza msiba sehemu ya kutangaza viungo vyao!
carol Ndosi ambaye ni mfiwa, alivaa vibaya sana. Alivaa dera ambalo ni transparent tulikuwa tunaona hadi nguo ya ndani aliyovaa. Hii ilipelekea wanaume kuhamishia macho kwake kwa maskitiko
Mwanamke yeyote kwenye msiba wa jana alivaa nguo inayoonesha mapaja. Hii iliwahuzunisha sana wazee wa kimeru.
Wanawake wa Dar, msibani sio sehemu ya kuonesha fasheni ya mavazi.
Nyie wanawake wa Dar badilikeni!

Last edited: