Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

Mkuu mbona unakuwa mchoyo wa fadhila?? Si ungesifia tu kuliko kuponda? Yaani tuseme kweli kama we ulienda msibani kwa kuguswa na msiba ulipata wapi mda wa kukagua mpka chupi za wafiwa!! Na nywele za wanaume wenzio? Okay iko hivi hatuwezi kuishi na kutenda kama babu zetu! Kumbuka wao walivaa vidude tu vya kufunika mahali flani hivi kwingine kote ilikuwa free! Walau sisi kidogo tunafichaficha
Wa mkoani huyo hatakuelewa.
 
Acha uzwazwa, sasa si ndio vzr wanawafariji waombolezaji! Sasa unataka mda wote muwe mnawaza msiba tu, kina dada vaeni tena hata bkn
 
Mhh inasikitisha sana wakuu ,ndio maana uncle nanii alisema tutembeze bakora bila huruma.
 
silaha pekee ambayo wadada wengi wa kisasa wamebaki nayo...kwenye kujikwamua kiuchumi ni miili yao...
ikitokea fursa ya mkusanyiko wa watu,ndipo hutuma kujionyesha kwa kuvaa mavazi tamanishi....tuwazoee tuu....
 
Back
Top Bottom