Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

ficha upumbavu wako! ulinijulia wapi kwa mfano? halafu nijitetee ili iweje naitaji nini kwako kwa mfano jiangalie kwanza? wanaonijua wapo tena

mkuu watasema hii ni id yangu ! hebu njoo pm mpenzi wangu nikuhug kabla sijalala babe
jinga sana wewe umeamua kujijibu na multiple ID'S
 
Kiukweli me cwez vaa nguo yoyote mpya bila kufua, kama ni ushamba hewalaaa lakini ndio utaratibu wangu.
 
Hizo za dukani ukitoa nguo za ndani kuna wanaojaribu na jioni zinatundikwa tena kwenye hanger, labda ushonewe na fundi Said pale Magomeni ndiyo inakuwa mpya.
 
Hizo za dukani ukitoa nguo za ndani kuna wanaojaribu na jioni zinatundikwa tena kwenye hanger, labda ushonewe na fundi Said pale Magomeni ndiyo inakuwa mpya.
Kwa hiyo ukinunua viatu dukani unaenda kuviosha na sabuni mkuu?[emoji1]
 
Hizo za dukani ukitoa nguo za ndani kuna wanaojaribu na jioni zinatundikwa tena kwenye hanger, labda ushonewe na fundi Said pale Magomeni ndiyo inakuwa mpya.
What!!!!!! Vp kuhusu vipimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…