Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

ficha upumbavu wako! ulinijulia wapi kwa mfano? halafu nijitetee ili iweje naitaji nini kwako kwa mfano jiangalie kwanza? wanaonijua wapo tena

mkuu watasema hii ni id yangu ! hebu njoo pm mpenzi wangu nikuhug kabla sijalala babe
jinga sana wewe umeamua kujijibu na multiple ID'S
 
Kiukweli me cwez vaa nguo yoyote mpya bila kufua, kama ni ushamba hewalaaa lakini ndio utaratibu wangu.
 
Story ni tamu tena ni nzuri.
Ujumbe wake pia ni mzuri.
Umeiweka stori kikike kike imekataa[emoji23]

Nikirudi kwenye Mada: nguo special za dukani hakuna haja ya kuifua sababu inatoka moja kwa moja kiwandani. Lakini nguo za mtumba inabidi uifue tu hata kama ni tshirt unaweza kutoka vipele mwili mzima, fungus na majipu
Hizo za dukani ukitoa nguo za ndani kuna wanaojaribu na jioni zinatundikwa tena kwenye hanger, labda ushonewe na fundi Said pale Magomeni ndiyo inakuwa mpya.
 
Hizo za dukani ukitoa nguo za ndani kuna wanaojaribu na jioni zinatundikwa tena kwenye hanger, labda ushonewe na fundi Said pale Magomeni ndiyo inakuwa mpya.
Kwa hiyo ukinunua viatu dukani unaenda kuviosha na sabuni mkuu?[emoji1]
 
Hizo za dukani ukitoa nguo za ndani kuna wanaojaribu na jioni zinatundikwa tena kwenye hanger, labda ushonewe na fundi Said pale Magomeni ndiyo inakuwa mpya.
What!!!!!! Vp kuhusu vipimo
 
Back
Top Bottom