Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Sijaelewa hapa tatizo n nn had kumsakama Miss N. Kwangu mi kununuliana underwear na rafiki yangu n kitu cha kawaida wala sioni ajabu. Ninyi ndo mnahisi watu tofauti.....
 
Najua lengo ni kufikisha ujumbe kuwa umenunua hiyo na unategemea kupata anachokificha ndani ya hiyo nguo na wewe akileta boxer usifue
 
Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina.

Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana nikampa. Asubuhi kanionesha ameivaa nikamuuliza umefua saa ngapi akaniambia chupi mpya unafua kwanini?

Huyu mama ni msomi na kaishi mbele miaka mingi tu kwahiyo anajua mambo mengi. Je chupi mpya haifuliwi?

Vipi yule bosi anayefahamu kama uko kwenye mambo yetu hajambo?
 
Sijaelewa hapa tatizo n nn had kumsakama Miss N. Kwangu mi kununuliana underwear na rafiki yangu n kitu cha kawaida wala sioni ajabu. Ninyi ndo mnahisi watu tofauti.....
achana nao mamy tatizo huku watoto wengi
 
Back
Top Bottom