Uvaaji wa Culture (Bracelet) na tabia za ukahaba kwa dada zetu

Kwahyo mleta uzi umefukunyua porno zote za kibongo na magrupu ya telegram, ulipomaliza haja zako , ndo ukaja na hitimisho kama hili!?

mbona mpaka wanaume wanaovaaa hizo bracelets wako wengi!? na wao wanaliuza!?

Hizi tafiti zenu ambazo mkukuta kitu in common mnaleta generalization zisizo na msingi sio fair kabisa! Kuhusu vikuku naelewa ila kacha/bracelet huko mmefika mbali!
 
Mkuu unaloongea lina ukweli asilimia mia, hiki ni kizazi cha laana kisicho na punje ya maadili, hadi unajiuliza endapo watoto wataendelea kuzaliwa na kulelewa kwenye familia kama tulivyozaliwa na kulelewa sisi na wazazi wetu. Hadi huwa najiuliza kuna connection gani kati ya kuwa muhaya na kupenda ngono kupita kiasi, unakuta kumbe ni laana au maroho machafu yanakuwa yamewavagaa watu.......
 
Mkuu hiki ni kizazi kilichooza, uhalali wa mwanadamu kuendelea kuishi hapa duniani ndani ya kusudi la Mungu ni kama haupo tena......ibilisi almost anaendesha kila aspect ya maisha.
 
Kweli site zenu zimefungiwa?
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji25][emoji25]
 
Nadhani hata dada yako akiwa anajiuza mwili wake na kuingiliwa kinyumenyume uwe na moyo huohuo wa kutoumia pumbavu sana
 
Nadhani hata dada yako akiwa anajiuza mwili wake na kuingiliwa kinyumenyume uwe na moyo huohuo wa kutoumia pumbavu sana
Kwani kuna shida gani kama Mimi haugusi mwili wangu na havunji sheria yaani hata Kama ni mama yako anapakwa mafuta kwenye tundu la haja kubwa mimi nitakua mteja wake
 
Upuuzi huu yaan mtu kuvaa Culture mkononi mmeanza kuleta na Tafsiri zenu zisizo na Maana. Ebu tumia akili yako vzr basi. Umalaya uko ndani ya Mtu siyo aina ya Vitu anavyovaa kweny Mwili
 
Eehhh bwana umenikumbusha, jana nilitoka kazini nimechoka tena asubuhi night ya kwanza, nikapita sehemu nikakuta saluni nikaingia kunyoa, nilivyo maliza nikawaona kwa ndani wadada wanafanya massage nikazama aisee, kufika tu nikapewa bei ya elfu tano na tatu ila cha kushangaa alivyozidi kunikanda uso na bega na utalaam mwingi kwenye shingo yaani mashine ikaanza kucheza kwenye suruali

Kila akiniambia tufanye ni hii mwanaume niko hoi na huku wallet nilikuwa na 400k hivi mpaka anamaliza kunihudumia zilinitoka kama elfu 40 hivi na vicenti kadhaa

Niseme sisi wanaume kuruka kwa mwanamke ni ngumu na walivyokuwa wazuri aisee unashawishika [emoji3][emoji3]

Mda huo ananishika kifua iko wazi na mwili wangu wa gym yule dada naona alipagawa, huku wengine pia wananipiga vijicho vya hatari, mbona niliomba namba mwenyewe[emoji3]
 
Naunga mkono kufungiwa kwa hizo site za ngono maana dah! Bando na muda vilikua vinapotea tu[emoji3] huko kwenye kujiuza nankuvaa braclet cjui
 
Kuhusu website za ngono kufungiwa sina la kusema......... ila kuhusu huu urembo wa kuvaa mkononi wa shanga siwezi acha kuvaa sababu naupenda sana. Na hizo shutuma zako niko nazo mbali. Kiurefu hazinihusu.
 
Hizo porn za tz unazipataje? Nipe link nizame chap au mtandao gani
 
wewe bwege sana.....hao waliozifungia wanapoteza nguvu nyingi za bure......BINADAMU tumeumbwa na AKILI nyingi sana.......nilitegemea ungeishauri sereikali iangalie namna ya kukusanya TOZO na huko.....unakuja na povu la sabuni LIMAO.......kausha blaza....watu wanaPONA huko....kuna watoto wanasomeshwa na hizo kitu......we elimisha wanao na dada zako....huku duniani tuachie...
 
Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…