Uvaaji wa Culture (Bracelet) na tabia za ukahaba kwa dada zetu

Uvaaji wa Culture (Bracelet) na tabia za ukahaba kwa dada zetu

Ivi wewe inakuuma nini mtu akijiuza mwili wake au hata kama anaingiliwa kinyume wewe unaumia wapi?

Watanzania tuache unafiki na kuingilia maisha binafsi wewe huyo mtu haumlishi,haumvishi wala hamsaidii kwa lolote unataka kuingilia maisha yake aliyochagua, ukiona huduma inatangazwa jua kuna wateja japo sio lazima uwe wewe au wewe uipende hiyo huduma
lahauula .....
 
Usipende kuhukumu watu kisa aina ya Urembo alochagua kuvaa. Vikuku ni Urembo tu kama ilivo Earings, Bracelets, Waist chain, head chain etc! haina uhusiano wowote na kuingiliwa nyuma.
Pisi imesema.
 
Back
Top Bottom