Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

Maneno meengi lakini mwisho wa yote andiko lako limeelekezwa zaidi na chuki dhidi ya "dini ya wazungu wa rumi" ambayo wewe unaiona ni upagani.
 
mkristo aliyeiva kiimani hawezi hukumu wenzie kwa Siku, vyakula. wala mavazi, wakristo hatuko chini ya matendo ya sheria, kuadhimisha Siku ya krismas kiroho si dhambi bila kujali Siku, mungu aliye hai huangalia dhamira ya kiroho siyo Siku wala mavazi
 
Hata wale wanaovaa hijab na sijui nikabu na kuficha sura kama maninja wanakera kwakweli, yaani joto la Dar au Mtwara unakuta li janamke limejivika madudu meusi mpaka nyayoni. Kuiga kuiga
we inakuuma nini na joto lake...chapa kazi fight with your whether...
 
Hivi wasababto ni wakristo?

Yani msababato yuko tayari kuingia msikitini na kuungana na waislamu kuponda wakristo wa madhehebu mengine!
 
Wewe nani katika nchi hii, na ulaya ipi uliyoenda wewe, umeshawahi kuyagusa hayo mavazi hata kwa mkono tu? Unajua yanatengenezewa nini? Na lini umewahi kumuona mtu kavaa hayo mavazi akatembea nayo mtaani? Au na wewe umenakili sehemu ndio umeketa humu, ili uwe GT? Pole sana, umeandika ujinga sana. Leo hii na wewe eti unasema msinijibu kuwa sikukuu ya X-mass hapo ndio nimeshangaa. Kumbe umekuja huku kuleta hitimisho la mawazo yako, ambalo hutakiwa kupingwa kabisa. Pole sana, ulilote halina maana kabisa.
 
Wasabato mna shida kweli. ....siku mkianza kunywa Coca na kula kitimoto ndo akili itawaingia.
Nguo avae mwingine roho ikuume wewe.....Shaabash
Mkuu, kwani hawali? Njoo huku chanika nikuoneshe jamaa wanavyopiga coca na kiti, tena watoto wa mchungaji mkubwa tu wa wasabato.
 
Hata kujiita son of gamba ni ulimbukeni wa kiwango cha airforce 1
 
ifanye siku ya ijumaa ya kuanzia jioni mpaka jumamosi ya sabato kuwa na makande mengi na chai chupa nzima.x mass njema
 
Hii imekaa kichuki chuki dizaini,kweri tuanze na hao wanaovaa hijab na kuficha sura kama ninja vile.
Africans tuna long way to go, am a born christian(now non beleiver) but inaumiza ona the level of hate and comparison kwa uislam..and islam hate to christianity pia.. Tukibaguliwa na wazungu tunaita racism but inside us tunabaguana kwa kigezo cha dini na makabila.. Lets change fellas..
 
Wasabato siyo Wakristo....


Kitaja
Nipo nimekusikia. Wasabato ndio pekee wenye uthubutu wa kuwaambia kuwa kanisa katoliki ni kahaba mkuu aliyesemwa kwenye ufunuo 17:5. Na papa wa kanisa katoliki anapata madaraka na nguvu zake toka kwa Joka wa Ufunuo 13:4.

Kwa maelezo hayo kamwe huwezi kuwapenda wasabato. Jambo moja la kukusaidia ni hili, usivunje kioo kwa kukuonyesha uchafu wako bali tafuta sabuni na maji ukaoge uwe msafi.
 
Kupatwa kwa Wasabato..

Vita ya Mzigua Mbondei sitii mguu, ngoja niendelee kupitia comments za watu nijifunze mengi.
 
Nipo nimekusikia. Wasabato ndio pekee wenye uthubutu wa kuwaambia kuwa kanisa katoliki ni kahaba mkuu aliyesemwa kwenye ufunuo 17:5. Na papa wa kanisa katoliki anapata madaraka na nguvu zake toka kwa Joka wa Ufunuo 13:4.
Hahahahahahaha...

Zuzu nimeliita na lenyewe likaja....
Kama tahira vile.....
 
Kupatwa kwa Wasabato..

Vita ya Mzigua Mbondei sitii mguu, ngoja niendelee kupitia comments za watu nijifunze mengi.
Ubarikiwe sana. Waroma wanadanganya ulimwengu ya kuwa wao ni wakristo ilihali wamepotosha mafundisho ya Yesu Kristo. Wanafiki wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…