Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

Umezungumza vizuri sana...kukemea utumwa wa fikra walionao waafrika weusi dhidi ya wazungu! Kitu ambacho kwa maoni yangu naona haupo sahihi ni pale unapomhusisha mwafrika na ukristo....kiufupi ni kuwa kuukubali ukristo miongoni mwa waafrika huo tayari ni utumwa wa fikra kwa sababu Mungu wa kweli anaabudiwa kwa namna yoyote ile inayofaa na sio kutoa sadaka na kuahidiwa uzima wa milele wakati kiuhalisia hakuna uzima wa namna hiyo utakaodumu kwa mwanadamu.
NB
Nipo tayari kukosolewa.
 
Mtoa mada umeandika Usenge mtupu rais wa korea kaskazini amesema marufuku xmass ila tarehe 25 dec 1922 alizaliwa bibi yake so bora wamkumbuke bibi yake.
 
Mtoa mada umeandika Usenge mtupu rais wa korea kaskazini amesema marufuku xmass ila tarehe 25 dec 1922 alizaliwa bibi yake so bora wamkumbuke bibi yake.
Mara mia wamkumbuke bibi yake kuliko kusheherekea sikukuu yenye asili ya upagani. MESSIAH hakuzaliwa tarehe 25 December kama ulivyodanganywa. Soma Biblia yako utajua MESSIAH alizaliwa wakati gani. Kwa MUNGU hakuna uwongo kabisa, sasa kwanini kusheherekea siku ya kuzaliwa MWANA WA MUNGU kwenye tarehe ya uwongo? Kwanini kuchanganya mambo ya MUNGU na mambo ya uwongo? Je!, unaweza kuchanganya maji safi ya kunywa na mafuta ya taa kidogo tu kisha hayo maji yakawa salama kwa kunywa?

Wewe ikiwa rafiki zako watasheherekea siku yako ya kuzaliwa kwenye tarehe ambayo siyo uliyozaliwa utafurahia? Utaona ni sawa tu wakifanya hivyo?
 
Soma Biblia yako utajua MESSIAH alizaliwa wakati gani
Yani wewe ndio mbumbumbu kabisa.....Hakuna mahali biblia imetaja tarehe ya kuzaliwa Kristo na wala hakuna aijuaye tarehe aliyozaliwa..


Sasa nakuomba wewe unipe hiyo tarehe na mwezi aliyozaliwa kristo...
Kisha iniambie umetumia kalenda ipi kukokotoa hiyo tarehe..

NB.....Usiniletee ushenzi wa kutumia kalenda hii ya leo ya Kanisa Katoliki kukokotoa tarehe hiyo ya Yesu kuzaliwa


Ahsanta
 
kwaiyo wew unavaa majani? ilo vazi ushajiuliza wanavaa watu gani na muda gani? au ulitaka uvae ukapuyange nalo kariakoo.
huna lolote wew it's either ni msabato maskini uliyeshika dini,
huna hela unatafuta excuse ili usitoe hela kwa maandaliz ya Xmas
 
Hiyo sio nguo rasmi kwa hiyo ni sawa tu hiyo amevaa kuwakilisha kitu tu
Na imani za watu we achana nazo iwe pagani sijui nini we achana nao
Wana uhuru wa kuamini wanachoamini
Wewe animi unapoamini
 
Nyie ndio wale mnasema internet ni uchawi
 
Unafikiri Xmass inasherehekewa na nchi za baridi tu? South Africa, Australia, New Zeiland na South Asia Countries in winter? Mbona wanasherehekea na kuvaa the same father Christmas costumes?
Dar kuna winter?
 
Biblia ina siri kubwa sana kama huna mwongozo wa ROHO MTAKATIFU huwezi kuelewa kitu. Kila kitu kimeandikwa kwenye Biblia, mpaka mwezi aliozaliwa MESSIAH, sema sababu ninyi ni vipofu ndiyo maana hamwoni. Rudia kusoma kwa makini na utulivu huku ukiomba MUNGU akupe akili za kuelewa na akufungue macho utaona kila kitu. Kwa kukusaidia LUKA ameandika kila kitu.
 
Mkuu na ww umeiga kutokea Korea .umepotea mlango wa kuingia geuza mkuu huko ni kwa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…